Jifunze kutengeneza mkorogo mzuri na usio na madhara kwa afya yako

Niliiona uzi mmoja wa urembo wa asili, ulizungumzia mkorogo wa asili cyo wa kuchanganya lotion na cream

Yenyewe unachanganya ukwaju, Asali na rosewater
Asante naongeza Kwenye list Rosewater na asali
 
mh ya wakwezi waachiwe wenyewe mkorogo miaka hii? mkanunue vidonge kabisa ili mkoboke ngozi vizuri
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom