JIFUNZE KUTENGENEZA LOTION YENYE KUKUPA NGOZI NYEUPE NÀ YENYE KUVUTIA

yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
5,369
Points
2,000
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
5,369 2,000
Habari zenu warembo na watanashati wa jukwaa letu pendwa la urembo mutindo nk.

Kutokana na maombi mengi ya uko PM ya waungwana wenzangu kutaka kujua namna ya kutengeneza lotion nzuri za kuipa ngozi weupe nikaona sio mbaya kama nitaleta uzi wenye kuelezea namna ya utengenezaji lotion yenye kichwa cha habari hapo juu.

Nianze na mahitaji yanayotakiwa kwenye hii lotion yetu pendwa kabisa.

MAHITAJi

Shearbutter robo
Mayai ya kuku wa kienyeji 3
Organic coconut oil vijiko 10 vya chakula
Cocodem lotion kopo2
Betnovate chupa1
Skin protector serum 3/aha serum 2-3
Clinic clear serum chupa 3
Vitamin e vidonge 5
Asali robo Lita
Sabuni ya monticlair 2( hakikisha ni og) ukikosa achana nazo
Maziwa ya maji nusu Lita
Essential oil nusu chupa( tumia lemon or lavender ess.oil)


UTENGENEZAJI
Weka shear butter kwenye bakuli pasulia mayai kwenye shearbutter na uipige kama unavyopiga cake haraka haraka hadi iwe nzito na uhakiki mayai na shearbutter vimekua kitu kimoja.

Weka coconut oil kwenye bakuli lenye butter..mimina essential oil..weka betnovate ..weka skin protector/Aha ..weka clinic clear serum ..weka na vidonge vya vitamin e oil... Changanya vichanganyike kua kitu kimoja

Chukua bakuli nyingine weka maziwa loweka Montclair zako ...ziyeyuke liwe rojo changanya kwenye mchanganyiko wa butter.. Changanya kwa pamoja vichanganyike kua kitu kimoja

Note:kwenye ulowekaji wa sabuni kwenye maziwa nashauri uloweke kabla ya kuanza utengenezaji wa losheni yako ila kama utakosa sabuni sio lazima waweza weka maziwa tu vijiko hata kumi vya chakula

Mpaka hapo lotion yetu itakua ipo tayari kuipaki kwenye kopo na kuitumia..lotion hii inadumu kwa muda wa miezi 6

Kila ingredient niliyoiandika hapo ina faida zake kwa skin zetu ..ukitaka kujua kagoogle mpendwa tusichoshane kuandika faida zake ..hahahahaha (just kidin' babies)

Nimemaliza.. ila kuandika kipaji jamani

Povu sitaki

Alamsik
 
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,144
Points
2,000
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,144 2,000
Swadaktaa
Kwahiyo hii mtu anakuwa mweupe kama aliyepaka mkorogo au anakuwa mweupe wa kawaida?. Ngoja niangalie kama itafaa nifanye biashara maana hawa wanawake wa Afrika wanapenda sana weupe.
 

Forum statistics

Threads 1,314,983
Members 505,127
Posts 31,844,456
Top