Jifunze kutengeneza lotion nzuri kwaajili ya ngozi

Beeb

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
29,402
58,951
Habari zenu warembo na watanashati wa jukwaa letu pendwa la urembo mutindo nk.

Kutokana na maombi mengi ya uko PM ya waungwana wenzangu kutaka kujua namna ya kutengeneza lotion nzuri za kuipa ngozi weupe nikaona sio mbaya kama nitaleta uzi wenye kuelezea namna ya utengenezaji lotion yenye kichwa cha habari hapo juu.

Nianze na mahitaji yanayotakiwa kwenye hii lotion yetu pendwa kabisa.

MAHITAJI

  • Shearbutter robo
  • Mayai ya kuku wa kienyeji 3
  • Organic coconut oil vijiko 10 vya chakula
  • Cocodem lotion kopo2
  • Betnovate chupa1
  • Skin protector serum 3/aha serum 2-3
  • Clinic clear serum chupa 3
  • Vitamin e vidonge 5
  • Asali robo Lita
  • Sabuni ya monticlair 2(hakikisha ni og) ukikosa achana nazo
  • Maziwa ya maji nusu Lita
  • Essential oil nusu chupa(tumia lemon or lavender ess.oil)
UTENGENEZAJI
Weka shear butter kwenye bakuli pasulia mayai kwenye shearbutter na uipige kama unavyopiga cake haraka haraka hadi iwe nzito na uhakiki mayai na shearbutter vimekua kitu kimoja.

Weka coconut oil kwenye bakuli lenye butter..mimina essential oil..weka betnovate ..weka skin protector/Aha weka clinic clear serum, weka na vidonge vya vitamin e oil. Changanya vichanganyike kua kitu kimoja

Chukua bakuli nyingine weka maziwa loweka Montclair zako ziyeyuke liwe rojo changanya kwenye mchanganyiko wa butter.. Changanya kwa pamoja vichanganyike kua kitu kimoja

Note:kwenye ulowekaji wa sabuni kwenye maziwa nashauri uloweke kabla ya kuanza utengenezaji wa losheni yako ila kama utakosa sabuni sio lazima waweza weka maziwa tu vijiko hata kumi vya chakula

Mpaka hapo lotion yetu itakua ipo tayari kuipaki kwenye kopo na kuitumia lotion hii inadumu kwa muda wa miezi 6

Kila ingredient niliyoiandika hapo ina faida zake kwa skin zetu ..ukitaka kujua kagoogle mpendwa tusichoshane kuandika faida zake hahahahaha (just kidin' babies)

Nimemaliza ila kuandika kipaji jamani

Povu sitaki

Alamsik
 
Huo mchanganyiko unapakwa kwenye mwili wa mtu ,duu hatari lakini salama.
 
Ila kuna zile za kutakatisha ngozi kidogo kama u serious nikupe somo
Kwahiyo hii mtu anakuwa mweupe kama aliyepaka mkorogo au anakuwa mweupe wa kawaida?. Ngoja niangalie kama itafaa nifanye biashara maana hawa wanawake wa Afrika wanapenda sana weupe.
 
Ubarikiwe..nakula zangu somo huko dunian mara paap nikainasa na hii, nimehifadhi..huko sosho media tayari nimechimba barabara kote kote...soon..very soon
Ni vyema

Tubarikiwe sote mkuu
 
Back
Top Bottom