mushijcob
Senior Member
- May 20, 2015
- 104
- 69
Wakati wewe unaona vitu ulivyo navyo havina thamani kuna wenzako wanavitafuta hivyo na hawajapata bado. Chochote ulicho nacho ukishindwa kukithamini hakuna mtu mwingine atakuja akithamini.
Thamini kila ulicho nacho kwasababu ndio vinakufanya wewe uendelee kuonekana mtu kwenye hii dunia sasa hivi wakati unaendelea kutafuta vizuri zaidi. Jijengee tabia ya kushukuru kidogo ulichonacho ili uweze kupata vingi.