JIFUNZE KUMUACHA AENDE

salaniatz

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,679
2,000
Habari wana MMU

• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.

MUACHE AENDE !
Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...

MWACHE AENDE !
Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu...

MUACHE AENDE !
Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?

MUACHE AENDE !
Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...

MUACHE AENDE !
Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo...

MUACHE AENDE !
Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu...

MUACHE AENDE !
CHA KUJIFUNZA
Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!

Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.

Jifunze kumuacha aende hata ni kama kwenye ndoa, vitabu vya dini vinaruhusu kabisa kuvunja ndoa kwa kesi ya Uzinzi.

NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!

Kama ipo ipo tu...!

Tupo pamoja??
 
tejay

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,255

Pamoja mkuu
 
mr smoke

Member
Feb 25, 2015
16
45

love is just one big illusion as you try to forget ni ngumu kumuacha msichana /mvulana uliyempenda kwa dhati it takes time na wakati mwingine mtu unajipa moyo that maybe kama nikitia juhudi mambo yataenda vizuri
 
Queen Kan

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
3,458
2,000
love is just one big illusion as you try to forget ni ngumu kumuacha msichana /mvulana uliyempenda kwa dhati it takes time na wakati mwingine mtu unajipa moyo that maybe kama nikitia juhudi mambo yataenda vizuri
Kweli mkuu
 
salaniatz

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,679
2,000
love is just one big illusion as you try to forget ni ngumu kumuacha msichana /mvulana uliyempenda kwa dhati it takes time na wakati mwingine mtu unajipa moyo that maybe kama nikitia juhudi mambo yataenda vizuri
For this life my friend to be KING'ANG'ANIZI is part of showing your weakness. Please LET HER GO and think about how you're going to recover.
passenger-let her go
 
mr smoke

Member
Feb 25, 2015
16
45
For this life my friend to be KING'ANG'ANIZI is part of showing your weakness. Please LET HER GO and think about how you're going to recover.
passenger-let her go
sidhani kama kila msichana/mvulana utakayekua naye kwenye mahusiano itakua ni kumwacha aende challenge zipo so ni kuzikabili "we dont run away from problem we face them and solve them"
 
Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,335
2,000
love is just one big illusion as you try to forget ni ngumu kumuacha msichana /mvulana uliyempenda kwa dhati it takes time na wakati mwingine mtu unajipa moyo that maybe kama nikitia juhudi mambo yataenda vizuri
Love is just another game, enjoy it when you have control of it; when you don't have control let it go.
 
Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
12,968
2,000
Furaha ya kweli ni kujipenda mwenyewe ukiona kitu kingine kinakupotezea furaha yako achana nacho

Mapenzi yakiisha hata ukijilazimisha kiasi gani utabaki unafiki maana sura na moyo vikienda tofauti Fanya maamuzi kila mtu aendelee na maisha yake
 
mashishanga

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
612
500
Mleta Uzi umegusa kwenyewe weng wamekua wakipritend kwenye mahusiano anatenda visivyo anajidai kukupenda, kweli suluhu ya Furaha yako nikumwacha aende ili amani ya moyo wako uipate weng wamekua wakingangania wakidhani labda IPO cku atabadilika ila ndio mambo yanakua magumu kila cku, big up mleta uz, na una mashiko, naongezeaa usiwe kinganganiz usipopendwa, mwache aendeeee
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,996
2,000
ni vile watu huwa hawaelewi tu..as long as unadate na binadamu mwenzio na sio malaika basi mitafaruko lazima iwepo..kukimbilia kuachana sio suhulisho la matatizo ya mahusiano..kikubwa ni kukaa Chini na kurekebishana.
 
CHIMBULI WA CHIMBULI

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
462
250
Nice pamoja na kuumia Sana moyo wako ufunze kusahau ili mambo mengine yaende
! Mbona tunafiwa na wapendwa wetu Baba, mama na wengine? ukiona anakusumbua achananae jiamini kuwa una thamani kubwa.
 
STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,571
2,000
I have been run the world and kiss alot of girls so guess maybe true...
 
salaniatz

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,679
2,000
sidhani kama kila msichana/mvulana utakayekua naye kwenye mahusiano itakua ni kumwacha aende challenge zipo so ni kuzikabili "we dont run away from problem we face them and solve them"
Owky basi final decision ndio KURIDHIA APITE IVIIIIIII
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom