Jifunze kuhusu kilimo cha tangawizi Rungwe

Chorter

Member
Jul 8, 2017
41
68
Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA.

Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha ya watu wengi wa Rika tofauti uku kwetu rungwe, lengo la uzi huu ni kwamba saizi ni msimu was kuanza kuvuna tangawizi lakin pia ni msimu wa maandalizi ya mashamba kwaajiri ya msimu ujao.

Kwahiyo napenda kuwataarifu watu wote wanaohitaji zao la tangawizi au wanaohitaji kulima tangawizi nipo hapa kwaajili ya connections mbalimbali Kama vile kuwatafutia mashamba kwaajili ya kukodi, kuwatafutia vibarua kwaajiri ya kufanya kazi lakin pia ata mbegu na huduma nyingine zote zinazohusuka katika kulima tangawizi bora kabisa.

Pia kwa wale wote wenye magenge ya biashara maeneo mbalimbali Tanzania wanaojihusisha na uuzaji wa tangawizi nawasaidia kuwanunulia mzigo kwa bei ya shambani pia ata wafanya biashara wakubwa nipo kwaajili ya kuwaconnect moja kwa moja na wakulima ili kujipatia mzigo kwa gharama nafuu kabisa KWA MAWASILIANO AU MAELEZO ZAIDI NO 0782284770.. RUNGWE yetu ardhi bora daima!

IMG_20210526_205027_174.jpg


 
Mkuu vipi bei yake sokoni maana huko kigoma unafanya kulazimishwa kubeba.
 
Habari ndugu zangu,
napenda kuwakarbisha wote wenye kuhitaji kujua mambo mbalimbali kuhusu kilimo Cha tangawizi. Pia napenda kuwakarbisha wafanya biashara wote wanaohitaji tangawizi kutoka sehemu mbalmbal Tanzania.
Kwawale wote wanaohitaji kulima tangawizi nnanafasi ya kujua mengi kutoka kwetu. Kwamawasiliano zaidi 0782284770
Tuwekeze kwenye kilimo Cha tangawizi, tutengeneze faida kubwa

FB_IMG_1625655951044.jpg


IMG_20210707_075440_1.jpg


IMG_20210611_142214_2~2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom