Jifunze kudai nyota yako ya ndoa,kazi,fedha kwa mungu wako!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jifunze kudai nyota yako ya ndoa,kazi,fedha kwa mungu wako!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Ndugu mpendwa
  pengine kuna wanaoulzia nyota nini..tukisoma kitabu cha luka tunaona mamajusi walikuwa wakimfatafuta yesu wakiwa wanaaendelea kumtafuta wakaona nyota mashariki ya mbali
  hapa inatujulisha kumbe nyota yako yaweza kuonekana marekani ..kwa wakati huo mashariki ya mbali ni kama hapa na bara la ulaya....

  baadae tunaona mamajusi wakiwa wanazikaribia zile nyota zikapotea:
  hii inatuonyesha kwamba kumbe kuna wakati nyota ya mtu yaweza potea..labda nikuelekeze hapa kinachofanyika kwa wale wanajimu wa nyota wanajua pdidy anakaa masaki mikochen nkwineko anajua jamaa ana fedha sana wanachofanya wale wakiwa kwenye ulimwengu wa mapepo wanaona nyota zinazongaaa sasa na wao wanaanza kuzitafuta kama walivyokuwa mamajusi wanafika na kukuta kweli didy kapaki malori yake nje na gari nzuri za kifahari wanachofanya wanaweza kuingia kama watu ..ama wanaingia kama paka wewe utaona paka na pengine hata panya wakimaliza kuchukua nyota zako baaday a mwezi unashangaa yale malori yanapinduka...mara limegongwa ilimradi zile pesa zako zinaisha sasa basi akienda mwanmjini kudai atengenezewe awe tajiri wanachofanya ni kuhamisha zile nyota zako wanamuhamishia jamaa na baada ya muda unashangaa jamaa amepata utajkir gafla

  huu ndio mchezo wa nyota..sasa basi lazima ujue jinsi ya kudai nyota zako..kila ukilala mwambie mungu narudisha nyota yangu ..nalaani wote waliochukua nyota yangu taja nyota ya utajiri nyota ya uzazi nyota ya ndoa nyota ya....tajaa kila aunachoitaji ukiweza kila siku nakwambia shetan alali maana zinarudi moja baada ya nyingine

  mamajusi wakiwa wanaendelea kumtafuta yesu nyota zikaonekana tena karibu na alipolala mtoto yesu:

  kummbe nyota yako ikingaa hata kama itapotea inatuonyesha lazima irudi kwako..nasema itarudi kwako in jesus name sema amen...nasema huu mwezi wa umetosha nyota zetu zinarudi nasema zirudi ktk jina la yesu yoyote aliechukua nyota zetu awe amekufa ,hai tunazirudisha kwa jina layesu..hapa tunaona baada ya kupotea nyota zikaja kuonekan mtoto alipo..inaamaanisha nyota yako ikingaa hata waichukueje lazima irudi..nasema itarudi kwa jina la yesu sema hivi kila siku narudisha nyota yangu,kuanzia leo popote ilipofichwa majini,ziwani,baharini chumban,kwenye chungu na popote pale narusisha then anza kufyeka mapepo yaliochukua fyeka fyeka kwa jina la yesu..ita mume wako kuna watu walikuwa na waume zao leo ni mawaziri ,marais sababu ya kuchelewa klurudisha nyota zao wanaishia kuteseka kwenye makampuni yaliochioka tena kwa rushwa za ngono...imefika wakati rudisha nyota yako sasa,ita mke wako toka kwa mungu mwambie mungu narudisha nyota ya ndoa yangu narudisha nyota ya uzao wangu..nikupe siri kuna wachawi wanaka muhimbili na mahospital kulamba watoto wakiwa wanazaliwa...wale unaona wamekufa gafla sio kifo cha kawaida...wwako kuzimu..untakiwa ombea uzao wako rudisha nyota ya uazo..kuna mabinti wazuri wanahangaika mpaka sasa kupata watoto si kwamba mapenzi ya mungu la hasha kuna watu wameenda kwa waganga wkapewa uzao wako sasa unateseka wanakuita wanachotaka leo nasema imetosha ..nasema imeotsha anza kupiga majeshi ya shetan kama una tatizo la uzazi sali kila siku

  ""bwana yesu..ninakuja kwako naomba unisamehee dhambi zangu nilizofanya kwa kujua ama kwa kutojua...nirehemu leo hii rehemu uzao wangu rehemu wazazi wangu,rehemu ukoo wangu
  leo hii natangaza kurudisha kila nyota yangu iliochukuliwa na kuwekwa kwenye chungu,chumba,ziwani,baharini taja unakofikiria..natangaza leo hiikurudisha uzao wangu natangaza kuwa na watoto wasio na idadi ninarudisha kila aliechukua uzao wangu kwa jina la yesu...uko aliko uzao wangu ukarejeshwe kwa jina la yesu rudsha nyota ya mumeo ama mkeo kama ujaoa ama kuolewa...narudisha fedha zangu kwa jina la yesu shetan na kufyeka imetosha nasema imetosha leo narudisha kilichochukuliwa kwangu in jesus name

  amen
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  mamajusi walipomwona wakanza kumwagia manemane :

  So utaona kumbe nyota yako ikingaa fedha zinaletwa ajira zinakufwata,utajiri nuakukimbilia kila aina ya baraka inakufwata wewe na si wewe kuifwata...ukiangalia walipomwona yesu walifurahi sana sana wakaanza kumshangilia kwa hiyo nyota yako ikingaa jua ndug zako wanaokutegemea watakufurahia sana watakushangilia na kukuheshimu sana sana...aijalishi uko na umri gani yesu alikuwa mtoto manemane zikammwagikia ...nakwambia saa imefika ya kuita nyota yako laani kila aliechukua nyota yako akaangamie asirudi tena ....kuna watu wanahangaika na kazi wakiwa na cv nzuri sana sana lakini bila kuwa na ufahaamu cv aikupi kazi bali kibali cha mungu wanaishia kujaza makabati ya makampuni cv zao..anza sasa ita nyota yako nyota ndio inakupa kibali cha kuingia ofisi yoyote si makaratasi ,,,nyota inakupa ufahamu wa kujua nini cha kuongea kwenye interview na si yale makaratasi nikupe kisanga cha kweli na mungu wangu ni shahdi

  nikiwa mtaani nikaanza kumwaga cv kila sehmu kila nafasi..ikafika sehemu nikamwambia mke wangu sasa hii imetosha..wife akasema unajua tatizo unafikiri vyeti vinakupa kazi vyeti ni vikorombozwe tu kuna watu wako maofisini makubwa makubwa bila ya vyeti kama vyakao..tukaanza kupiga prayer ya kuita nyota ..akanipiga somo la kibali akika nakwambia ukiwa na kibali cha mungu kazi inakufwata..nikiwa arusha nikaakaaa sana kwa dadangu nikisema niopumzishe akili baada ya muda nikaja dar..nikaakaa mwezi nakwambia hii ni kwa taarifa yako usicheze unapomwambia mungu naoamba kibali cha ndoa ,kazi uzao wangu mungu anaajibu...nilituma application february...kibali kikantafutaa jumatano mwezi wa may nikiwa nimeepanda basi kwenda arusha nikiwa karibu na chalinze nikapigiwa unaitwa didy nikamwambia yap..nani mwenzangu..akaongea kimombo nikaweka full attention..unaweza kuja leo ofisni saa sita nikamwambia ngumu labda kesho..akaniambia kesho saa 3 asbh,,nikashuka chalizne safari ikafia hapo..nilipoenda asbh kwenye interview nilimwambia mungu sasa naenda kazini kwangu nimechoka kukaa hme..nikaanza kuita kibali nilipofika kwenye interview nikakuta watu6 m wa saba nakusaidia umuhimu wa kibali..interview ikaarishwa mpaka saa nane movenpick..kati ya 7 4 wakaondoka na kusema tumetoroka kazini tukabaki wa3.ilipofika nane jamaa wanamsubiria toka nairobi mmoja akaondoka tukabaki wawili..nilipofika zamu yangu..hr aliniuliza unapenda kulipwa sh ngapi...nikamtajia scale akasema no nipe fgr nikampa arrondfulan...wa pili aliniambia ukipata kazi iincase kuna emergency utafanyaje..nikamweleza..interview iliishia hapo..wakaenda ofisni..mi nikala mdogomdgo posta mpya niko kwa basi tu tabata nikapigiwa uko mbali nikamwambia kidogo nani mwenzangu..akajieleza nikambiwa njoo uje saini mkataba wako kama unakubaliana nao...
  Ndugu auitaji kwenda bagamoyo,yanga,buguruni kupata kazi ,,no ita kibali cha mungu kifanye kazi akuna kinachoshindikaana

  herode akaanza kutuma watu wakamuue yesu :

  Kumbe nyota yako ikiwa inangaa watatokea wabaya kutaka kukuua lakini kwa kuwa unaye yesu wa nazareth atakutoa hapo ulipo na kukupeleka mbalai shetan asikuguse..utaona herode aliona huyu mtoto anaenda kufanya mambo makubwa bora nimuangamize mapema..utaona kuna wazazi wengine wanatupiwa mapepo wanaishia kutupa watoto wao kwenye shimo la taka ama choo..bila kujua wanaiangamiza nyota ya mtoto..ninao ushahdi waziri mmoja serikali ya kiwete mzazi wake alimwacha barabarani sehemu ya mama ntilie na leo hii ndie anaemtunza mzaz wake..hiiki ni kibali ..yawezekana waliomtunza walianza kumlilia mungu aonyeshe nyota ya huyo mtoto leo wanaishi kama peponi...mungu akusaidie wewekaka kama uko humu..hii yote ni kujua jinsi gan ya kujikomboa ..usikimbilie mungu niruishie uzao ..tafuta srce..kwa hiyo usishangae nyota yako ikingaa maadui wanaongezeka wafyke kwajina la yesu wapigwe wapigweeeee wapigwe kabisa

  baada ya haapo natumaini kukuona uko juu kimaisha na si wale wanaoishi kwa matumaini kama msemo wa serikali yetu mungu akakuangazie nyota yabaraka maaduio zako wakapigwe kwajina la yesu waaibike na wasionekane tena mbele yako ...

  Wenu
  pdidy
   
 3. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  ASANTE PIDDY - KWA USHUHUDA NA MAFUNDISHO PIA - MIMI NAANZA LEO - KUKOMBOA NYOTA YANGU - NIMECHOKA KUISHI MAISHA YA "KIUYATIMA" :amen:

  Ubarikiwe na Bwana
   
 4. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,261
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Mimi nikiwa Belgium nilikutana astrologist mmoja aitwae jenna akaweka mambo yangu safiiii!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  utakuwa safi kwa muda yakianza kubumbuluka nakwambia tena ungenipa jina lako ningefurahi kweli YATIMA
  Anza kuita nyota ya huyu bwana ..kuna sehemu kachomolewa akapewa hizi ndizo tunaziita kwanza alafu tunakuja zetu..binafsi nimeanza kuita nyota za MAFISADI zote zirudi kwangu na ni Muda tu watasema yale Mungu amesema kusema sio wao wamesema
   
 6. L

  LADY M Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amen barikiwa sana kwa ujumbe mzuri
   
 7. New Nytemare

  New Nytemare JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2016
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 1,790
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Post nzuri sana nimeona niibue tena
   
 8. Jmujun

  Jmujun JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2016
  Joined: Feb 12, 2015
  Messages: 981
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  nimetolewa katka giza, kumbe. mungu turudishie nyota zetu
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  KWA WALE MNAOITAJI MAOMBI YA AINA HII WEKENI SIMUZENU NBOX SIO HAPA KUNAMTU NTAMPANAMBA ANAWARUSHIA.MNAKUWA MNASALI MNAJUAJINSI YAKURUDISHA NYOTA ZENU
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Wale wenye whatsup
   
 11. C

  Chai nusu Senior Member

  #11
  Jun 18, 2016
  Joined: Jun 21, 2015
  Messages: 150
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mmmh
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmhhhhhh
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2016
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Hii ndo hapana hii, kuna mtu kuna mtu, wafundishe watu kumtegemea na kumfuata yesu, na watafute msaada kwenye makanisa ya kiroho karibu nao, mambo ya namba hayo Ni ya biashara
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Pengine n mgeni ningefanyabiashara JF NINGEKUWA TAJIRI SANA NENDA KASOME MADA ZA NDOA THOSEDAYS NA NILIKUWA NAWARUSHIA WATU WHATSUP SIKUMBUKI KAMANA WEWE ULISHAANZA KUWA NA SIMUYA WHATSUP MPWA.W.AULIZE KAMA KUNA MTU AMELIPA HATA MB8...TUKOKUOKOA NAFSI ZAWATU IWEZIKUJITAMBUA MWENYEWE BILA KUMJUA YESU....
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Amkeni wapendwa

  ELIMU N NZURI BUT ELIMU SIO MAFANIKIO N TAA YA KUTAFUYA MAFANIKIO YALIOGUBIKWA NA GIZA LA UJINGA
  UNAPOPATA TAA NDIO INAKUPA MWANGA WA MAFANIKIO

  KIVIPI MAFANIKIO YAKO LAZIMA YAFWATE NYOTA YAKO..KILA MTU ANA NYOTA YAKE ..HII N GIFT OF NATURE FRM GOD..HII HATA UWE NANI UWEZI PAMBANA NAYOO
  KAMA NYOTA YAKO IMEFUNIKWA HATA UWE NA DEGREE-DK UWEZI ONEKANA UTAISHIA KULIA NAKUOMBA MSAADA KAMA YULE DK MKUU WAWILAYA MOROGORO AMBAE PAMOJA NA KUWA MKUU WA WILAYA KUWA NA DK BADO ILISHINDWA KUMSAIDIA KUTOKA KIMAISHA AKAANZA KULIA SHIDA ZAKE RAIS AMSAIDIE AKUJUA HUU MDA WAHAPAKAZI NA SIO KUSAIDIANA TENA

  WATU WENGIN WANATESEKA DUNIAN TENA WENGINE WALOKOLE KABISA SABABU YA KUTOKUWA NA UFAHAMUU..UNAWEZASALI SANA OMBA MAARIFA WE BARAKA SAWA KUMBE KUNA NDUGU MARAFIKI ZAKO WAJOMBA HATA VICHENCHEDE VYAKO VIMEKWENDA KWA MGANGA AMECHUKIA NYOTA YAKO WANAITUMIA

  LEO NIMEWIWA KUELEKEZANA HILI WAPENDWS WACHAWI AMA WAGANGA WANACHOFANYA UNASIKIA PDIDY KAWA TAJIRI GAFLA AKUNA JIPYA ANACHUKUA NYOTA YA INVISIBLE ANAHAMISHIA KWA PDIDY..KIVIPI KAMA AUKO VIZURI NA MUNGU JAMAA WAKIKUJUA UDHAIFU WAKO WANAONA MAFANIKIO YAKO HADI MIAKA KUMI IJAYO UTAKUWA BIL FULANI WANAPAMBANA KUVUTA NYOTA YAKO...

  WENGINE AWAJUI WANAHAHA MAOMBI MKE ARUDI ANARUDIJE NYOTA ISHAONDOKA ..SIO YEYE WAMEKUCHUKUA NYOTAYAKO KIASI CHA KWAMBA YEEYE AKUONI TENA KAMA MUME..AMA MUME AKUONI KAMA MKE MLIVYOOANA..NA WANAJIMU HAWA HUFANYA HIVI WSKIJUA BAADA YA MIAKA MIWLI HAWAJAMAA NDOA YAO ITAKUWA BABUKUBWA SANA NA USHIRIKIANO HUU UTALETA FEDHA ZA HATARI

  UNAITAJI KUIKOMBOA NYOTAYAKO MPENDWA..SIOHILO UJAWAHI ONA WAZAZI WAKO MATAJIRI SANA UMESOMA MPAKA NA KA DEGREE KAKO KAMA MPWA MATOLA.LAKINI WAZAZI BADALAYA KUKUPUSH NA KA CAPITALA ANAENDA PEWA YULE MLEVI WAKUTUPA NA AKIMALIZA HELA ANAPEWA TENA SIO YEYE NDUGUYOO NYOTAA YAKE NDIO INAONEKANA YAKO IMEFICHWA IFUKUE UTAKUFA NA DK YAKO AMA DEGREE YAKOO..

  NYOTA YAKO IKIONEKANA PESA ZINAONEKANA..NDOA INAONEKANA.BIASHARA INAONEKANA KAZI ZINAONEKANA

  UJAONA KUNA WATU WANA ELIMU ZAO ANAKUJA KAZINI POPOMPO HATA LILE AJUI WEEK KADHAA ANAKUWA BOSI WAKO UNAISHIA KUPIGA KELELE AMKA MWENZIO NYOTA YAKE INASOMEKA MNGAO WE BAKI NA ELIMUYAKOO

  PIGA MAOMBI RUDISHEN NYOTA ZENU..MAOMBI MTAKAYOPEWA AUITAJI KUTOA HATA SENTTANO MPENDWA HUKO ULIKO UKIONA UMEBARIKIWA NAYO PLS TOA SADAKA KWAYATIMA NA KANISA UNALOSALI

  ....INAENDELEA
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  MAOMBI YOYORE UTAKAYORUSHIWA ANGALIZO NIBUREE N BUREE AYAITAJI UTOE HATA SENTI TANO KAMA BW UTTAH ALIVYOSEMA NA KAMA UTADAIWA SENTI MOJA NJOO HAPAA WEKAHIO NO ...TUIAIBISHE KWA YESU TUMEPEWA BURE TOA BURE TUNAITAJI KUFANIKIWA MATESO N YA SHETANI OGOPA KANISA LINALOFUNDISHA KUENDELEA KUVUMILIA NAUJUI UNATOKAJE MAISHA YAKO
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  KUNA VIFUNIKO VYA KICHAWI VIFUNIKO VYA MAUZA UZA WAGANGA..VIFUNIKO HIVI HUTUMIKA KUFUNGA KAZI ZA WSTU NDOA ZAO BIASHARA ZAO ..NK..ZINATUMIKAJE ....
  HUTUMIA KUCHUKUA NYOTA ZA MTU AMA UGANGA WA KUFUNGA MAFUNDO..UGANGA UPO UPOOO MPENDWA NENDA SOMA BIBLE JUU YA BALLAM UTAMWELEWA VIZURI WAKATI MUSA ALIPIGA CHINI FIMBO IKAWA NYOKA JAMAA WAKALETA YAO IKAPIGWA IKAWA NYOKA .....UCHAWI UPOOO UGANGA UPOOO AMKENI ACHENI KUISHI MAISHA YA MATUMAINI JIKOMBOE KUTOKA NGUUVU ZAKICHAWI WAGANGA NA WENGINEO...NAOMBA ASBH YA LEO NIOMBE KWA AJILI YAKO NA NGUVU ZOTEZAKICHAWI NA WAGANGA ZILIZOFUNIKA NYOTA YAKO USIHOFU NSALA FUPI TU ANZA NA REHEMA MWOMBE MUNGU REHEMA OMBA TOBA AKUSAMEHE ULIOTENDA U AYOPITIA NA PENGINE ULIKATATAMAA UKANENA MABAYA JUUYA MUNGU AKUPE REHEMA BAADAYAHAPO ACHILIA MOTO TUOMBE

  BABA KTK JINA LA YESU ALIE HAI ASBH HII YALEO KWA SAA ZA TANZANIA NA MASAA MENGINE KWA NCHI ZA WENZETU NA MAJIRA YAO TAZAMA ATUJUANI HUMU TUMEKUWA TUKIPAMBANA NA MANENO YA DUNIA LEO LEOO TUMEKUJA MBELE ZAKO MFALME TUNAOMBA TOBA NA REHEMAYAKO PALE TULIPOKOSEA KWA KUWAZA KUNENA NAKUTENDA TUNATUBU JUUYA FAMILIA ZETU UKOO WETU WAKWE ZETU NA KILA MMOJA MAHALI HAPA

  MUNGU MWENYE NGUVU TUNAOMBA TUTIE NGVU TUPE UFAHAMU ULISEMA KWENYE EFESO WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA SAA HII TUNAALAANINNGUVU ZOTE ZA GIZA MAJINI WAGANGA W ACHAWI WALIOFUNIKA NDOA ZETU KAZI ZETU TUSIPATEKAZI AMA KUTOONEKANA KWENYE PROMOTION KWAJINA LA YESU TUNAVUNJA VIFUNIKO VYOTE VYAKICHAWI TUNAFYEKA NAKUVIARIBU TUNATUMA DAMUYAYESU IKAVISAMABARATISHE VIFUNIKOVYA BIASHARA WALIPOVIFUNGIA MIALE YA MOTO WAYESU IKATAWANYE NAKUVIPASUA KILA KONA KWA JINA LA YESU ALIEHAI NAOMBA NAKUSHUKURU

  NDUGUMPENDWA NAONA UNAKAZI
  NAONA NDOA YAKO INARUDI KWENYE FURAHA NDOA YAKO IMEBADILIKA KUANZIA LEO WALE WAKIOKUTESA WANAKWENDA KUAIBIKA WAPENDWA..NAONA UBUNIFU WABIASHARA JUUYAKO KWAJINALA YESU..WAPO WAFANYABIASHARA MUNGU AMEWAPA VIPAJI ILA SHETAN ANAWAKANDIIMIZA NA KAZI ZA KILA MWISHO WA MWEZI KWAJINA LA YESU NYOTA YABIASHAARA NDOA NAZIREJESHA KWA DAMUYA YESU

  AMEEEN AMEEEN ...
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  UKIOMBA MAOMBI HAYA UTAANZA KUONA MIUJIZA KWEYEMAISHA YAKO UTAANZAKUONA MAFANIKIO YALIOFUNGA MAISHA YAKO MIAKA KUMI PLUS..ANZA BIASHARA PELEKA CV NA APPL LTR...MUNGU ANAKWENDA KUZIREJESHA NYOTA ZAKO UKIONEKANA KAZI INAONEKANA

  NIWAMBIE KITU NIMEFANYAKAZI OFISI KADHAA KUNA WATU NA SHULE NZURI KABISAA WALE MASECR WANAPOPOKEA APPL FORM NK HUWA WANAFUNGUA WAKIWANNA NGD ANA APPLY WAKIONA HUYU N JIPU WANAENDA NAZO MAKWAONNA ZINGINE HUTUMIKA KUWASHIA MOTO MAJIKO YAO WALIOMAOFISIN N MASHAHIDI WA HILI... HAWA SIOWAO

  N KWAMBA NYOTA YAKO IMEPOTEA KUNA WATU WAKO NAYO HIJUI NDIO MAANA YULE MDADA AKIKUONAA AKIONA CV YAKO ANAONA UCHAFU AMA KIZUIZI HIKI LKN UKIWA NA NYOTA YABARAKA NIKWAMBIE KITU CV NA APPLICATION ZITAMTATAFUTA BOSI NA SIO WEWE KUWATAFU

  NASEEMA HIVI KAZI ITAKUTAFUTA WEWE SEMA AMEEN
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Mpwa uttah nimesambaza Clip nyingizandoa za NDOA NA hats mia sijawahi kuchukua ila mwishon naomba unikumbuke maombini NDOA yangu pia hill lilikuwa n ombi ....Waacheni watu wafunguliwe wapone mpendwa wakristo wengi mmekaa makanisani kama jina asbh join kila jpili we wenzio wakiomba MUNGU awape ongezeko la capital we unaishia kuomba kila siku niguse YESU angalia hats nauliyakuja nimekopa atakugusaje wakati mjomba anaruka NA nyotayako ndio maana watuwapewe masomo yakuwainua nakuwatoa kwanza shidazao..siokila siku unalilia sadaka zawatu wakati wananchiwako wapendwa wako wanakopa nauli NA wakatimwingine KWENYE Basi ukisikia mianne unamwambia Konda NA miatatu hapo at a use nalaki ile laana ya NYOTA inakutesa
   
 20. L

  Lagata Member

  #20
  Jun 18, 2016
  Joined: Nov 29, 2015
  Messages: 99
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 25
  AMEEN MTUMISHI NIMEBARIKIWA
   
Loading...