Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,816
Basketball Bet

Ni hiv basketball nayoinabetiwa kama michezo mingine tu inavyobetiwa tu,

Isipokua kwenye basket hatupendelei sanaa kubet ishu za normal et flan ashinde au flani asishinde, kwani kwa basket mtu yoyote tu anashinda, na points za normal ni ndogo sanaa.

Sasa hapa tunabet kwa options tu yaan options za point (hizi points ni kama magoli tu uko kwenye football), so hizi point kwenye basjet zinaanzia mbili mpaka tatu, yaan mtu akiscore basi jua hapo ni either point mbili au tatu, na kuna point ambazo zinatolewa bure kama penati ya football hizi zinaitwa free throw ambazo timu inaweza kupewa mbili au tatu, na tofaut ni kwamba hizi sio kama football zinatolewa tu kila dk kama kuna faulo.

Sasa points hizi tunazibetia kwa ujumla wake yaan zitatokaje mwisho wa mechi au kwa kipindi gani? (Zinaitwa total points)

Sasa utabet kwa kusema mechi flan mfano Cavaliers v. Boston jumla itoe idadi ya point 205 so uta place hapo, hizi zenyewe utazikuta wamekuwekea hapo so utachagua ipi, mfano;

Total point over/under 205.5 =1.98
Total point over/under 207.5 =2.00
Total point 210.5=2.30

(= hii ni point za odds sasa yaan footbal ndo ile mnasema 3+ ina point 2 ipe hio)

Kwaio hapa umeninyaka kidogo? Sio, okei tuendelee,

Sasa basket imegawanyika kwa kitu kinachoitwa Quarter, yaan vipindi kadhaa wa kadhaa, na vipindi hivi ni vinne tu (kama football festi hafu na sekandi hafu) na hiv vipindi vya basket mara nyingi vina dk 10 kwa 10 tu kwa kipindi kimoja, ila NBA na ufilipino kota zao zina dakika 12 kwa kota moja, so kota zote nne hizo ndo utazibetia kwa idadi ya point zake, mfano kota zote nne zitoe jumla ya point 190 na kuendelea, kwaio wakiwa wanatupia huku na huku wewe unakaa hapo tu unacheka unajua hela hio tayari.

Kwaio wazee hapa uangalifu wako unatakiwa uwe zaidi ktk ligi zenye kueleweka hasa za ulaya nchi kama ujerumani, poland, israel, england na spain (kalili hapa mzee, maana kuna wazungu wengine ni vilaza kinyama hawafungani), ufilipino, brazili na marekani sana sanaaa, hasa hasa marekani NBA yaani utajiri nje nje mzee maana hawa NBA ni wamelaaniwa ktk basket unaweza kula hela kota ya tatu tu shughuli imeisha.

Basket ball inapatikana sana kwa makampuni kama meridian, sportspesa, Gal betting na wengine wachache.

Basket ni afadhali sanaaa, yaan una kula hela kwa muda mchache, ina uhakika kuliko football,haina presha maana mambo yanaweza kubadilika ndani ya dk 2 tu ukafurahi mwenyewe sio kama football.

Ijaribu Basket, utaipenda sanaaa.

Basket ni lazima ule, sio kama football kuna wadau wana miaka na miaka tangu wale mara ya mwisho.

Karibuni kwa maswali.
 
Naomba tue marafiki maana naona una maono makubwa ndugu yangu so pllllz kama hutojal ni pm namba yako tuyajenge

Muhimu mkuu
 
wakuu nlikua nje ya mji kidogo kwa majukumu ya hapa na pale, so nimerudi naomba niwajibu kwa kadri mlivyouliza.
 
nimejaribu kusoma zaid ya mara 3 lakini nimeshindwa kuelewa..itakua tu sababu haya mamichezo ya mikono siyapendi labda

hahahahahaaha jaribu mzee ni afadhali kuliko ayo mamichezo ya miguu.
 
Back
Top Bottom