Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Uwe unatoa predictions zako..sisi tuwe tunacopy na kupaste
Hahahaha umenikumbusha mbali sana mkuu msemo wako wazee wa copy and paste au vitonga au wazee wa kuteleza au barafu. Chuoni sie tukiwa class ilikua mtu mmoja akifanya assignment ndo kila mtu anai copy iyo iyo na marks zinakuja sawa darasa zima utofauti unakuja kwenye Test tu.
 
Page ya pili ya uzi huu, kuna link ya kujiunga na ilo group la whatsap la Basket na kila kitu utajulishwa huko, bonyeza uingie kundini moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom