Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

STORY HII INA FUNZA ...

Mtoto mmoja alikua anakula embe ghafla akaona funza katika lile embe..

Kama nilivokwambia stori hii ina funza ...
 
Kuna mdada alikutana na mkaka wakati wako safarini, yule kaka akamuomba mdada namba ya simu. Njiani akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao.

Basi wakawa wanawasiliana kila siku. Siku nyingine anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela anampa.

Yule dada akawaambia marafiki zake nimepata bonge la bwana jamani nitake nini mimi nisipewe? Mashoga wakamwambia weeee ebu jaribu yule dada akampigia yule jamaa akmwambia leo nipo nipo tu natamani kutoka ila sina hela ya saloon nimemis sana kwenda club na marafiki zangu. Yule jamaa akamwambia ok akamtumia laki 3 ya saloon na kumwambia kama isipomtosha aseme.

Wenzie wakasema lol shoga bwana umempata. ilipofika jioni yula mwanaume akapiga simu kwa yule binti akamuuliza club gani mnakwenda? Yule dada akataja club wanayotaka kwenda yule bwana akamwabia basi namtuma mtu aje awachukue me mtanikuta huko

Baada ya muda yule dada akaenda yeye na jopo lake, walipofika wakanywa, wakala na kucheza, wakarudishwa home kama walivyoahidiwa

Siku ya pili yule bwana akamwambia yule dada nataka kuzungumza na wewe ila plz njoo peke yako. Yule dada akajikoki akaenda alipofika kule yule kaka akamwambia nimempenda sana rafiki yako yule mweupe mweupe naomba ukamwambia hisia zangu hizi wala sina plan ya kumchezea nitamuoa kabisa. Sikuwahi hata kukuleta kwangu kwa kuwa najua ni mke pekee ndiye anayestahili kupajua nyumbani kwangu. Yule dada akamwambia mimi je? Yule kaka akamuuliza wewe nini? Yule dada akamjibu mimi utanipeleka wapi kwa hiyo mimi ndiyo unaniacha?

Yule kaka akamwambia mimi sikuwahi kukupenda wewe kimapenzi, nilikuchukulia kama rafiki ndiyo maana sijawahi kuzungumza na wewe suala la mapenzi mimi huwa nikikipenda kitu sichukui muda ninasema hapo hapo. Tangu nikufahamu wewe tuna miezi kama mitatu sijawahi hata kukushika nywele, kama kuna kitu nimekifanya kwako ni kukushika mkono tu kitu ambacho hata marafiki wanakifanya

Dada huku akilia akamwambia mbona ulikuwa unanihonga? Yule kaka akacheka akasema sikuwahi kukuhonga mimi nilikuwa nakupa kama rafiki, sioni sababu ya kukunyima angali ninacho sijafundishwa hivyo na usidhani kama nitamuoa rafk ako af ww ukiniomba nitakunyima hapana nitakupa km ninacho ila katu ctokupa kipaumbele kuliko mke wangu. mkw wangu akiridhika kwa nilichompa bas nawe utapata.

Bas yule dada akamwambia siwez kumwambia rafk angu watanicheka mnooo wote wanajua ww ni bwana wangu. cwez naomba unipende mimi kaka angu. yule kaka akamwambia siwez kukupenda wewe km mke wangu cna hisia hizo kwako. na usiogope kumwambia ni bora ukaseme wajue ww uliuelewa upendo wangu vibaya watakubembeleza na kukufarij, kuliko kukaa kimya. maana mimi nitakapokutana na rafk ako popote nitamwambia tija ya moyo wangu nae atakapo nikataa kwa kudhan mimi ni shemej yake nitamuelewesha jins gan mm tulivyo na ili kujitetea ili kumpata nmpwndae nitaingia ndan zaid na kumweleza kuwa nilikutuma ww ujumbe huu na hukuufikisha.

Hapi ndipo rafk zako watakudharau na kukukebeh. watakuletea maringo ya waz waz na utajiona huna thaman. kuelewa vibaya co tatzo ila tatzo linakuja pale ulipogundua kuwa ulichokielewa sicho nawe ukang'ang'ania Yule dada akmjibu sasa kwann hukunipenda mimi akat ndo ulitangulia kuniona? yule kaka akamjibu co kila kilichopo mwanzo kinastahili kuna vingne vyenye kufaa vpo kat na hta mwisho... kikubwa usiwe na haraka ktk kufanya maamuz nikuulize swali dada???? yule dada akamjibu ndio niulize. yule kaka akamwambia hapo ulipo unausichana wako? yule dada akamjibu hapana. kaka akamuuliza ni nan alieutoa? yule dada akamjibu mpenzi wangu wa kwanza.

yule kaka akamuuliza yupo hai au amekufa?? yule dada akamwambia yupo hai na mpnz wake mwngne. bas yule kaka akamwambia KWANN HUKULAZIMISHA NDOA KWA MTU ALIYETANGULIA KUUJUA UNDANI WAKO NA UJE KULAZIMISHA NDOA KWANGU MIMI MTU NILIETANGULIA KUZIJUA TAMAA ZAKO???? rafk ako alikua mstaarab sana kat ya marafk zako wote, hakunywa pombe, hakuupenda mziki mlimlazimisha tu kuja mara nying alikua ni mtu wa kukaa chini, mara kwa mara alisisitiza tirud nyumban.

Hata tulivyokua tukiondoka alinambia ni vema na ww uneenda kupumzika maana umechoka pia cc nyumban titakwenda wenyewe co mbal na hapa tukichukua tax. wote mlimbeza na kumwabiaaa ebuuuuu huko hyo ndo kaz ya mwanaume tupeleke ce utupe na hela ya supu kesho. hiv mlimpata wap rafk km yule mbona haendan na ninyi? yule msichana huku akilia akajibu yule ni house girl wetu huwa napenda kutok nae ili baba na mama wasihis nakwenda kufanya mabaya huko niendako.

Bas yule kaka akamwambia nenda kamwambie house girl wenu kuwa NAMPENDA SANA AJE KWANGU AFANYE KAZ YA KUNIPENDA KWA DHAT NAMI NITAMLIPA UPENDO.
 
Kuna mdada alikutana na mkaka wakati wako safarini, yule kaka akamuomba mdada namba ya simu. Njiani akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao.

Basi wakawa wanawasiliana kila siku. Siku nyingine anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela anampa.

Yule dada akawaambia marafiki zake nimepata bonge la bwana jamani nitake nini mimi nisipewe? Mashoga wakamwambia weeee ebu jaribu yule dada akampigia yule jamaa akmwambia leo nipo nipo tu natamani kutoka ila sina hela ya saloon nimemis sana kwenda club na marafiki zangu. Yule jamaa akamwambia ok akamtumia laki 3 ya saloon na kumwambia kama isipomtosha aseme...
Huyu mwanaune najaribu kumtafuta kwenye orodha ya kitabu changu cha wanaume wa 19-21+century huku simuoni, alikuwa anatumia namba gani za utambulisho?

Maana tunaweza kuwa kunamtumia kama reference, tunapojaribu kuwaelezea wanawake sisi wanaume ni jinsi gani tuko poa sana.
 
Huyu mwanaune najaribu kumtafuta kwenye orodha ya kitabu changu cha wanaume wa 19-21+century huku simuoni,alikuwa anatumia namba gani za utambulisho??

Maana tunaweza kuwa kunamtumia kama reference,tunapojaribu kuwaelezea wanawake sisi wanaume ni jinsi gani tuko poa sana.
 
Kuna mdada alikutana na mkaka wakati wako safarini, yule kaka akamuomba mdada namba ya simu. Njiani akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao.

Basi wakawa wanawasiliana kila siku. Siku nyingine anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela anampa.

Yule dada akawaambia marafiki zake nimepata bonge la bwana jamani nitake nini mimi nisipewe? Mashoga wakamwambia weeee ebu jaribu yule dada akampigia yule jamaa akmwambia leo nipo nipo tu natamani kutoka ila sina hela ya saloon nimemis sana kwenda club na marafiki zangu. Yule jamaa akamwambia ok akamtumia laki 3 ya saloon na kumwambia kama isipomtosha aseme...
Huyu mwanaume mwenzetu ni toleo la ngapi?
 
Back
Top Bottom