Jifunze Kitu Kupitia Hii Thread.

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Messages
297
Points
250

plan z

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2019
297 250
Kuna mdada alikutana na mkaka wakat wako safarin... yule kaka akamuomba mdada namba ya cm. njian akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafr mpka hom kwao
Bas wakawa wanawasiliana kila cku. cku nyingne anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela anampa.
Yule dada akawaambia marafik zake nimepata bonge la bwana jmn nitake nn mimi nisipewe??? mashoga wakamwambia weeee ebu jaribu yule dada akampigia yule jamaa akmwambia leo nipo nipo tu nataman kutoka ila cna hela ya saloon nimemis sna kwenda club na marafk zangu. yule jamaa akamwambia ok akamtumia lak 3 ya saloon na kumwambia km isipimtosha aseme.
Wenzie wakasema lol shoga bwana umempata. ilipofika jion yula mwanaume akapiga cm kwa yule bint akamuuliza club gan mnakwenda??? yule dada akataja club wanayotaka kwenda yule bwana akamwabia bas namtuma mtu aje awachukue me mtanikuta huko
Baada ya muda yule dada akaenda yeye na jopo lake, walipofika wakanywa, wakala na kucheza. wakarudishwa hom km walivyoahidiwa: Cku ya pili yule bwana akamwambia yule dada nataka kuzungumza na ww ila plz njoo peke ako. yule dada akajikok akaenda alipofka kule yule kaka akamwambia nmempenda sn rafk ako yule mweupe mweupe naomba ukamwambia hisia zangu hiz wala sina plan ya kumchezea nitamuoa kabisa
Ckuwah ht kukuleta kwangu kwa kuwa najua ni mke pekee ndie anaestahil kupajua nyumban kwangu.
yule dada akamwambia mimi je??? yule kaka akamuuliza ww nn?? yule dada akamjibu mimi utanipeleka wap kwa hyo mm ndo unaniacha? yule kaka akamwambia mimi ckuwah kukupenda ww kimapenz, nilikuchukulia km rafik ndo mana cjawh kuzungumza na ww swala la mapenz mimi huwa nikikipenda kitu sichukui muda ninasema hapo hapo. tangu nikufaham ww tuna miez km mitatu cjawah hata kukushika nywele. km kunakitu nimekifanya kwako ni kukushka mkono tu kitu ambacho ht marafk wanakifanya
Dada huku akilia akamwambia mbona ulikua unanihonga??? yule kaka akacheka akasema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ckuwah kukuhonga mimi nilikua nakupa km rafik. con sabab ya kukunyima angali ninacho cjafundishwa hvyo na usidhan km nitamuoa rafk ako af ww ukiniomba nitakunyima hapana nitakupa km ninacho ila katu ctokupa kipaumbele kuliko mke wangu. mkw wangu akiridhika kwa nilichompa bas nawe utapata.
Bas yule dada akamwambia siwez kumwambia rafk angu watanicheka mnooo wote wanajua ww ni bwana wangu. cwez naomba unipende mimi kaka angu. yule kaka akamwambia siwez kukupenda ww km mke wangu cna hisia hizo kwako. na usiogope kumwambia ni bora ukaseme wajue ww uliuelewa upendo wangu vibaya watakubembeleza na kukufarij, kuliko kukaa kimya. maana mimi nitakapokutana na rafk ako popote nitamwambia tija ya moyo wangu nae atakapo nikataa kwa kudhan mimi ni shemej yake nitamuelewesha jins gan mm tulivyo na ili kujitetea ili kumpata nmpwndae nitaingia ndan zaid na kumweleza kuwa nilikutuma ww ujumbe huu na hukuufikisha. hapi ndipo rafk zako watakudharau na kukukebeh. watakuletea maringo ya waz waz na utajiona huna thaman. kuelewa vibaya co tatzo ila tatzo linakuja pale ulipogundua kuwa ulichokielewa sicho nawe ukang'ang'ania
Yule dada akmjibu sasa kwann hukunipenda mimi akat ndo ulitangulia kuniona? yule kaka akamjibu co kila kilichopo mwanzo kinastahili kuna vingne vyenye kufaa vpo kat na hta mwisho... kikubwa usiwe na haraka ktk kufanya maamuz nikuulize swali dada???? yule dada akamjibu ndio niulize. yule kaka akamwambia hapo ulipo unausichana wako? yule dada akamjibu hpna. kaka akamuuliza ni nan alieutoa? yule dada akamjibu mpnz wangu wa kwanza. yule kaka akamuuliza yupo hai au amekufa?? yule dada akamwambia yupo hai na mpnz wake mwngne. bas yule kaka akamwambia KWANN HUKULAZIMISHA NDOA KWA MTU ALIYETANGULIA KUUJUA UNDANI WAKO NA UJE KULAZIMISHA NDOA KWANGU MIMI MTU NILIETANGULIA KUZIJUA TAMAA ZAKO???? rafk ako alikua mstaarab sana kat ya marafk zako wote, hakunywa pombe, hakuupenda mziki mlimlazimisha tu kuja mara nying alikua ni mtu wa kukaa chini, mara kwa mara alisisitiza tirud nyumban. hata tulivyokua tukiondoka alinambia ni vema na ww uneenda kupumzika maana umechoka pia cc nyumban titakwenda wenyewe co mbal na hapa tukichukua tax. wote mlimbeza na kumwabiaaa ebuuuuu huko hyo ndo kaz ya mwanaume tupeleke ce utupe na hela ya supu kesho. hiv mlimpata wap rafk km yule mbona haendan na ninyi? yule msichana huku akilia akajibu yule ni house girl wetu huwa napenda kutok nae ili baba na mama wasihis nakwenda kufanya mabaya huko niendako. bas yule kaka akamwambia nenda kamwambie house girl wenu kuwa NAMPENDA SANA AJE KWANGU AFANYE KAZ YA KUNIPENDA KWA DHAT NAMI NITAMLIPA UPENDO.

Umeipenda like comment kisha share usisahau kulike page

AnthonyGasper

Member
Joined
May 11, 2019
Messages
90
Points
125

AnthonyGasper

Member
Joined May 11, 2019
90 125

Mtoa Post ni nani hata uandike upuuzi namna hii.
 
Forum statistics

Threads 1,380,817
Members 525,890
Posts 33,780,696
Top