Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

Nikianza ku imagine kwa circumstances ya tukio naona kama hata mchizi kafa kizembe

Yani demu anawasha moto we uko ndani baada ya ku fight utoke unaanza kumuomba afungue mlango?

Hapo ningekua mimi vyombo vya habari headlines zingeandika the return of koyla.

Yani ningepita na mlango huku nawaka kama sharukan
Umekosea kumaliza mkuu kama ghost Rider.
 
63430a32fff44e0092ef15c1f2b5c08f.jpg
 
Mbona neema mwenyewe anaonekana mpole,mnyenyekevu na mwenye huruma (angalieni sura yake jamani)nini kimemkuta mpaka kufikia hatua hiyo jamani 🥺🥺🥺🥺
Kakosa uvumilivu wa kushea dyudyu na mwanamke mwingine
 
Wanawake wapole siku zote ni wanawake wenye roho mbaya zaidi duniani.amini usiamini mesage sent
 
Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku.

Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na kuunguza nyumba inayodaiwa kuwa ya baba wa mdada huyo.

Kabla ya tukio hilo jana, inadaiwa Neema aliweka status mtandaoni kuashiria atafanya tukio baya huku katika status hizo akisema mtanisamehe

Zungu ambaye ametajwa kuwa kinyozi huko Mbezi, kwa upande mwingine anadaiwa alikuwa na mke na watoto wawili hivyo Neema alikuwa mpenzi wake mwingine. Kwa mujibu wa walioshuhudia nyumba ikiungua wamesema walikuwa wakisikia sauti ya Zungu akimuomba Neema amsamehe na amfungulie mlango asifariki lakini moto uliochagizwa kwa petrol unadaiwa ulikuwa mkubwa

Neema tayari inadaiwa amedakwa yupo polisi.

Je, kitendo alichofanya Neema ni sahihi?

Nini maoni yako?

View attachment 1856649

Sasa hao waliposikia walitoa msaada gan?
 
Wanawake wakichaga wanaanza kutoa majibu na Conclusions mapema sana kuhusu tabia na hulka zao
 
Oyaaa

Wanawake wa Kichagga/Kipare ni nomaaa. Huwezi ona Wabena wanaua waume zao. Mwanamke wa Kibena ni mvumilivu sana. Wachagga/Wapare siyo wa kuwakurupukia.

Ukioa akina Mushi ujiandae kisaikolojia.
Nyie tena mnaoolewa na mme mmoja wanawake wa3 wa tumbo moja?
 
Nikianza ku imagine kwa circumstances ya tukio naona kama hata mchizi kafa kizembe

Yani demu anawasha moto we uko ndani baada ya ku fight utoke unaanza kumuomba afungue mlango?

Hapo ningekua mimi vyombo vya habari headlines zingeandika the return of koyla.

Yani ningepita na mlango huku nawaka kama sharukan
:cool: Scars umetisha....
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom