Jifunze jinsi ya kutumia 'Should', 'Could' & 'Would'

English Kona

Member
Feb 24, 2019
21
75
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima. Leo ni siku nyingine tena tumekutana kupeana mawili matatu katika lugha ya kiingereza.

Siku ya leo tutajifunza jinsi ya kutumia SHOULD, COULD na WOULD.

Watu wengi wanaojifunza lugha ya kiingereza inakuwa ngumu kwao kuweza kutofautisha na kutumia maneno haya ( SHOULD, COULD & WOULD ) kwa ufasaha.

Kama na wewe ni miongoni wa watu wanaoshindwa kutumia maneno haya kwa ufasaha , basi nimekuekea video ya somo hilo. Video hiyo ni ya dakika 3 tu, ndani ya muda huo utaweza kuyatumia maneno hayo kwa ufasaha.




Tafadhali usisahau KU- SUBSCRIBE channel yetu.

SUBSCRIBE =>https://m.youtube.com/channel/UC-lRMLqXJ_1cfZINILPYgjg

Kama kuna sehemu hujapaelewa, tafadhali uliza ili ueleweshwe.
 
AISEE IT WOULD BE OF GREAT HELP FOR THOSE WHO STILL HAVEN'T CATCH UP WITH SUCH WORDS.
 
Kiingereza ni lugha tata sana. Ndiyo maana tuna matatizo nayo.

 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom