Jifunze jinsi ya Kukaa na house girl mda mrefu

Wala usiendelee kwasababu huna unalojua na sijui unazungumzia maisha ya wapi...?
Unasahau huyu msichana unamuachia nyumba pamoja na mali zako zote including watoto wako awatunze wakati wewe ukiwa haupo. Hata chakula unachokula wewe na watoto ni yeye anapika..!! Sasa kama akili zake haziko sawa utamuamini vipi? Huyo jirani wa kumuangalia unamtoa wapi ambae yeye hana shughuli zake kazi ni kuja kukulindia nyumba yako?
Kwa kifupi we inaonekana hujawahi kuwa na msichana wa kazi maana hayo yote uliyoshauri mtu akiyafanya msichana ataondoka haraka sana au atakua hafanyi kazi yoyote anashinda kwenye tv..
Nyie wa mama wakorofi,kwa hiyo asiangalie TV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadharia wapi we ni mkorofi na watakusumbua sana,house girl ni mwanamke na binadu km we,au unafikiri hana kikude ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako huyu nilienae huu ni mwaka wa nne sasa yuko hapa na wala hajawahi kutamani kuondoka.
Jirani anabaki kuwa jirani tu lkn hana mamlaka na kwangu.
Kwangu mm namuamini sana msichana wangu kuliko jirani kwsbb ndie anaebaki na nyumba na watoto wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usiendelee kwasababu huna unalojua na sijui unazungumzia maisha ya wapi...?
Unasahau huyu msichana unamuachia nyumba pamoja na mali zako zote including watoto wako awatunze wakati wewe ukiwa haupo. Hata chakula unachokula wewe na watoto ni yeye anapika..!! Sasa kama akili zake haziko sawa utamuamini vipi? Huyo jirani wa kumuangalia unamtoa wapi ambae yeye hana shughuli zake kazi ni kuja kukulindia nyumba yako?
Kwa kifupi we inaonekana hujawahi kuwa na msichana wa kazi maana hayo yote uliyoshauri mtu akiyafanya msichana ataondoka haraka sana au atakua hafanyi kazi yoyote anashinda kwenye tv..
Uko sawa kbs, huyu anaongea kinadharia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom