IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
1.mlipe pesa zaidi ya anachokitaka wengi wao wanataka 30000-40000 sasa wewe mpe 50000-100000 itategemea na uwezo wako.
2.chagua binti ambaye akili yake haijatimia 100%,hapa tuelewana ,chagua binti ambaye anazo akili anajitambua ila kwa mbali hamnazo,.
3.mnunulie simu pia hakikisha sinema zetu azam TV inapatikana mda wote.
4.jitahidi uwe na jirani mwema ambaye anakuwa karibu nae kukitokea shida kidogo atakujulisha.
5.wale wenye watoto jitahidi sana mambo mengi jirani yako awe anashiriki kufuatilia,hapa Mkono wako uwe wa kutoa ili jirani apate nguvu.
Kwa wale wanawake wenye visa hawawezi kamwe wanawatuma mabinti hadi kutupa pedi.
Nitaendelea...
Sent using Jamii Forums mobile app