Jifunze Jinsi ya kufanya manunuzi ya Games Ps4/ps3/PSvita/XBOX

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,363
Points
2,000

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,363 2,000
Kwa mda mrefu ilikua haiwezekan kufanya manunuzi but for now inawezekana kwa msaada wa Epic Computers Tz
sasa unaweza nunua Games Tv shows Na vitu vingine ktk PS store Pia Xbox store
unachotakiwa kufanya ni Kununua Reedem Codes kwa kiasi cha USD unachotaka
Then kulipia kwa tigo pesa au mpesa alaf epic computers watakutumia hizo codes kwa sms.
Then Utafanya Redemption Ktk ps yako au xbox alaf utainjoy
PSN
USD 10 = 28500
USD 20 = 55000
USD 100= 23000
XBOX LIVE
USD 15 = 39500
USD 20 =50500
USD50=16650
tembelea Digital Codes – Epic Computers
 
tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,868
Points
2,000

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,868 2,000
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
 
Rdj Shibo

Member
Joined
Jan 5, 2018
Messages
47
Points
95

Rdj Shibo

Member
Joined Jan 5, 2018
47 95
Kwa mda mrefu ilikua haiwezekan kufanya manunuzi but for now inawezekana kwa msaada wa Epic Computers Tz
sasa unaweza nunua Games Tv shows Na vitu vingine ktk PS store Pia Xbox store
unachotakiwa kufanya ni Kununua Reedem Codes kwa kiasi cha USD unachotaka
Then kulipia kwa tigo pesa au mpesa alaf epic computers watakutumia hizo codes kwa sms.
Then Utafanya Redemption Ktk ps yako au xbox alaf utainjoy
PSN
USD 10 = 28500
USD 20 = 55000
USD 100= 23000
XBOX LIVE
USD 15 = 39500
USD 20 =50500
USD50=16650
tembelea Digital Codes – Epic Computers
JAMANI MSAADA WENU PS3 YANGU HAISOMI MAGAME YA KWENYE EXTERNAL HARD DISK ILA NIKIWEKA KWENYE PS3 NYNGINE INAKUBALI
 
Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
8,108
Points
2,000

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
8,108 2,000
Kwa mda mrefu ilikua haiwezekan kufanya manunuzi but for now inawezekana kwa msaada wa Epic Computers Tz
sasa unaweza nunua Games Tv shows Na vitu vingine ktk PS store Pia Xbox store
unachotakiwa kufanya ni Kununua Reedem Codes kwa kiasi cha USD unachotaka
Then kulipia kwa tigo pesa au mpesa alaf epic computers watakutumia hizo codes kwa sms.
Then Utafanya Redemption Ktk ps yako au xbox alaf utainjoy
PSN
USD 10 = 28500
USD 20 = 55000
USD 100= 23000
XBOX LIVE
USD 15 = 39500
USD 20 =50500
USD50=16650
tembelea Digital Codes – Epic Computers
Msaada... Nimejaribu kuroot simu yangu ys Tecno spark k8 nimeishia hapa kwa kutumia Kingroot... Msaada tafadhari
 
Forum statistics

Threads 1,366,227
Members 521,419
Posts 33,364,537
Top