Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Kuna APPLICATION inaitwa track 24 ni nzuri sana kwa kufuatilia mzigo wako ulipo.
 
Kuna APPLICATION inaitwa track 24 ni nzuri sana kwa kufuatilia mzigo wako ulipo.
Habari wadau niliagiza kamzigo kadogo kupitia allxpress carrier niliyemtumia anaitwa china post ordnary small plus

Toka tarehe 25 mpaka Leo haujafika mbeya
Je Inawezekana mzigo ifike dar
na uchukue wiki mbili haujafika mbeya?
 
Nenda local post kuu ya uliko wafanye mawasiliano ili utatuzi upate!
 
Habari wadau niliagiza kamzigo kadogo kupitia allxpress carrier niliyemtumia anaitwa china post ordnary small plus

Toka tarehe 25 mpaka Leo haujafika mbeya
Je Inawezekana mzigo ifike dar
na uchukue wiki mbili haujafika mbeya?
Tarehe 25 ya mwezi gani mkuu. Huyo carrier uliyetumia na mimi mara nyingi huwa namtumia sana na kazi yake ni ya uhakika hata kama mzigo ukichelewa utafika. (China Post Ordinary Small Packet Plus)

The average delivery time varies from 20 to 60 days. Sometimes the time for shipment can take from 15 to 90 days. Most of the parcels sent by China Post Small Packet Plus mail reach the addressee.
 
Habari wadau niliagiza kamzigo kadogo kupitia allxpress carrier niliyemtumia anaitwa china post ordnary small plus

Toka tarehe 25 mpaka Leo haujafika mbeya
Je Inawezekana mzigo ifike dar
na uchukue wiki mbili haujafika mbeya?
Inawezekana kabisa. Ila mzigo utakufikia tu mbeya usiwe na wasiwasi. Imenitokea hiyo mara nyingi sana. Ukiona ule mda wa kupokea mzigo umefika alafu haujaupokea mtumie seller message aextend delivery period.
 
Account yangu ya mpesa mastercard ime expire na nilikuwa nimeshaomba refund kuna seller hakunitumia mzigo,je atanirudishiaje hela yangu?
 
Account yangu ya mpesa mastercard ime expire na nilikuwa nimeshaomba refund kuna seller hakunitumia mzigo,je atanirudishiaje hela yangu?
Hicho kitu kilinikuta mwezi wa tisa mwishoni, maana hata mimi M-Pesa Mastercard yangu iliexpire mwezi huo na nilikuwa nimeopen dispute nayo ikawa imekwisha na iko kwenye process za refund nikaenda ile sehemu ya kuendeleza card lakini kilichotokea nilipata namba nyingine tofauti na ile niliyokuwa natumia, nikaamua kudelete hizo card nikatengeneza nyingine. Ila pesa zilirudishwa kwenye Mpesa account.

Hicho kipengele inabidi Vodacom wakifanyie marekebisho maana huwezi ukaendeleza card halafu ikaja namba nyingine tofauti na ya card ya awali ambayo ulitaka iendelezwe.
1571054011044.jpeg
1571054300399.jpeg
1571054415408.jpeg
 
Attachments

  • 1571054300399.jpeg
    1571054300399.jpeg
    25.8 KB · Views: 3
Hicho kitu kilinikuta mwezi wa tisa mwishoni, maana hata mimi M-Pesa Mastercard yangu iliexpire mwezi huo na nilikuwa nimeopen dispute nayo ikawa imekwisha na iko kwenye process za refund nikaenda ile sehemu ya kuendeleza card lakini kilichotokea nilipata namba nyingine tofauti na ile niliyokuwa natumia, nikaamua kudelete hizo card nikatengeneza nyingine. Ila pesa zilirudishwa kwenye Mpesa account.

Hicho kipengele inabidi Vodacom wakifanyie marekebisho maana huwezi ukaendeleza card halafu ikaja namba nyingine tofauti na ya card ya awali ambayo ulitaka iendelezwe.View attachment 1233041View attachment 1233042View attachment 1233043
Seller alikurudishia pesa zako?
 
Hv wadau kuna kitu niliagiza mwanzoni mwa mwezi wa 8 bt muda wa kufika tz ilikuwa ni mwezi wa 9.Sasa baada ya huo muda kuisha hali ya kuwa mzigo bdo nikaona wameongeza wiki moja na baada ya hyo wiki kuisha nikibofya kwenye Ile order kuna hilo neno FUND PROCESSING.Sasa Hapo huwa wana maana gani ?maana kwa sasa siwezi kuutrack na umewekwa kwenye kingepele cha TO BE REVIEWED
Capture%2B_2019-10-16-09-18-55.jpeg
 
Hv wadau kuna kitu niliagiza mwanzoni mwa mwezi wa 8 bt muda wa kufika tz ilikuwa ni mwezi wa 9.Sasa baada ya huo muda kuisha hali ya kuwa mzigo bdo nikaona wameongeza wiki moja na baada ya hyo wiki kuisha nikibofya kwenye Ile order kuna hilo neno FUND PROCESSING.Sasa Hapo huwa wana maana gani ?maana kwa sasa siwezi kuutrack na umewekwa kwenye kingepele cha TO BE REVIEWEDView attachment 1234762
Ina maana uliopen dispute au seller ameamua kurudisha hela yako hivyo hela iko kwenye mchakato wa kurudishwa.
 
Wakati mwingine hawa jamaa wakiona hela uliyotoa hailipi wanakaa kimya kwanza halafu wanatafuta kisingizio wanakurudishia hela yako.
 
So far nimeagiza vitu kama mara 4 kwa hawa Aliexpress na vyote nilivipata vikiwa brand new tena kwa wakati.

Kuna kimoja nilikipata ndani ya wiki 2 mpka nikashangaa ila vingine ni ndani ya wiki 3 hv. Cha msingi kabla ya kuagiza angalia kwanza views za walionunua wanacomment nn kumhusu huyo seller, then chukua hatua ya kununua kupitia kwake
 
Mkuu ni shipping method gani ulitumi kusafirishiwa mizigo yako.
 
IMG_0033.JPG
naomba ufafanuzi wana JF juu ya garama za usafilishaji unapo fanya manunuzi kwe ukurasa wa Alibaba au App na mda watakao tumia mpaka mzigo wangu kunifikia naomba ufafanuzi kwa kila category apo kwenye picha
 
So far nimeagiza vitu kama mara 4 kwa hawa Aliexpress na vyote nilivipata vikiwa brand new tena kwa wakati.

Kuna kimoja nilikipata ndani ya wiki 2 mpka nikashangaa ila vingine ni ndani ya wiki 3 hv. Cha msingi kabla ya kuagiza angalia kwanza views za walionunua wanacomment nn kumhusu huyo seller, then chukua hatua ya kununua kupitia kwake

Mkuu hawa Aliexpress garama zao zipoje kwa mizigo midogo km xim nguo nk?
 
Mara nyingi kwa items ndogo ndogo wauzaji wengi wa Alibaba wanasafirisha kwa njia za haraka kama DHL, UPS, EMS etc. Mara nyingi gharama za usafirishaji ni makubaliano yako ww na muuzaji. Kwa njia za haraka mara nyingi mzigo uwasili nchini ndani ya siku 14.
View attachment 1241724 naomba ufafanuzi wana JF juu ya garama za usafilishaji unapo fanya manunuzi kwe ukurasa wa Alibaba au App na mda watakao tumia mpaka mzigo wangu kunifikia naomba ufafanuzi kwa kila category apo kwenye picha
 
Back
Top Bottom