euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,734
- 4,075
Asante
Apply for Refund kama alivyosema hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apply for Refund kama alivyosema hapo
Je na uki track wanakuambia imefika wapiNimeagiza bidhaa tangu tarehe 8/7 mpaka leo sijaipata, mwenye uzoefu hapo cha kufanya ni nini
Mi nimeagiza tar 13/7 na sijapata hadi saa hii 11:50pm, seller akaniambia nika-track kupitia posta..nimeenda posta ili wanisaidie kufanya tracking, walivyocheki wakasema hakuna tracking information zilizopo za huo mzigo, nime-open dispute na nasubr majibu 4days,remaining 3dys nw ili agreement isipokuwepo kuhusisha aliexpress, refunding ifanyike.Nimeagiza bidhaa tangu tarehe 8/7 mpaka leo sijaipata, mwenye uzoefu hapo cha kufanya ni nini
Huo mzigo nikwamba haujafika Tz, yawezekana uko in transit katika nchi husika ( origin Country) au uko njiani kuja TzMi nimeagiza tar 13/7 na sijapata hadi saa hii 11:50pm, seller akaniambia nika-track kupitia posta..nimeenda posta ili wanisaidie kufanya tracking, walivyocheki wakasema hakuna tracking information zilizopo za huo mzigo, nime-open dispute na nasubr majibu 4days,remaining 3dys nw ili agreement isipokuwepo kuhusisha aliexpress, refunding ifanyike.
Unaeza fanya hivyo.
Nackia kuna namna ya kupata vitu rejareja kupitia alibabaAlibaba ni Wholeseller, aliexpress ndio rejereja
Inaishia tarehe 10/7/2019Je na uki track wanakuambia imefika wapi
Nimefanya hivyoMi nimeagiza tar 13/7 na sijapata hadi saa hii 11:50pm, seller akaniambia nika-track kupitia posta..nimeenda posta ili wanisaidie kufanya tracking, walivyocheki wakasema hakuna tracking information zilizopo za huo mzigo, nime-open dispute na nasubr majibu 4days,remaining 3dys nw ili agreement isipokuwepo kuhusisha aliexpress, refunding ifanyike.
Unaeza fanya hivyo.
Labda min pc's iwe 1-10 au utumiwa SampleNackia kuna namna ya kupata vitu rejareja kupitia alibaba
Kuna mmoja leo nimemuona huko min pc's ni 1Labda min pc's iwe 1-10 au utumiwa Sample
tatzo ni shpping cost unaweza ukaambiwa hiyo pic's 1 cheapest shipping cost yake ni 35-50USDKuna mmoja leo nimemuona huko min pc's ni 1
Mbona kama nilikuta kua unahitajika kua na leseni ya biasharaMkuu ilikuwa ngumu ni sana mtu kukuelekeza kuna muda unaenda PM kwa mtu hakujibu au anajibu shortcut nikaona isiwe tabu nikaenda kwa kwa mwalimu wangu [Youtube] nikacheki video nyingi almost 3GB zilifia huko mwisho siku nikaelewa jinsi ya kununua Alibaba, Globalsources na Made in China.
Baada ya hapo nikaanza ku-make deal na Suppliers , nikaona bado sielewi malipo yanakuaje bcoz nilijua huku ni kama Aliexpress, ikanibidi kurudi tena Youtube nikapua video nyingi za jinsi ya ku make payments alibaba baada ya hapo ndio nikajua kumbe ni lazima ku make payment kupitia Trade Insurance ili Mpunga wako uwe salama.
Baada ya hapo nikaanza ku chat na seller nia yangu ni kupata Shipping iliyo bora nikagundua Supplier wengi wanasema DHL Ndio Cheapest kwenye shipping ila kuna mmoja alisema nitumia HK [hongkong Shippinh], sikutaka mzigo upitie Kwenye meli.
Alibaba inahitaji umakini sana wa kumjua yupi ni Supplier bora na amekuwa verified na ana muda gani kwenye Game na je anakubali ku make payament kupitia TRADE INSUARANCE?. usipo angalia unapigwa Fasta kama Kariakoo vile.
Kama una wasiwasi na bidhaa husika unaweza kuomba kutumiwa sample.
Nimeshajaribu Amazon wauzaji wengi hawaleti bidhaa zao Tanzania na bei ni kubwaWakuu kati ya Amazon na aliexpress Ni wapi kuko vizuri na salama na unaweza kupata mzigo kwa wakati bila chenga chenga??
Yaani hapo ndo kuna tatizo.Huo mzigo nikwamba haujafika Tz, yawezekana uko in transit katika nchi husika ( origin Country) au uko njiani kuja Tz
Kuna mzigo niliagiza since mwezi July mwaka huu, Kila nikiutrack nauona unapiga root tu huko China (in transit). Nilisubiria mpaka karibia buyer protection time ilipokuwa inakaribia kuisha nikafungua dispute
Aliexpress waliingilia kati wakaona ni kweli muda wa kupokea mzigo umeisha basi wakahitimisha kwa mimi kurudishiwa pesa yangu ( Ingawa sijaipata mpaka sasa sababu refund husubiriwa ñdani ya siku 7-20 za kazi )
Baada tu ya suluhisho nikaona mzigo umeanza kumove na hivi ninavyoandika mzigo umeshatumwa kuja tz kwa ndege
Ni kweli mkuu, nahisi hizi tracking number sometime sio za kweli. Kuna nimeagiza kutoka China kupitia Singapore, baada ya siku kama 8 mzigo nilion aumeshaondoka kutoka Singapore kuja Tz, kikawaida huwa napokea mzigo ndani ya siku 16 mpaka 20 baada yakutumwa kutoka Singapore. Lakini mpaka ninavyoandika hapa kuna mizigo niliagiza nyuma ya hii iliyotanglia nimeshaipokea lakini hii iliyotangulia mpaka sasa bado haijafika Tz kutokea SingaporeYaani hapo ndo kuna tatizo.
Mimi kuna mizigo niliagiza tangu tarehe 4/5/2019 hadi sasa haijaingia, buyer protection time niliextend lakini hakuna kitu mpaka nikarudishiwa hela. Na mizigo mingine niliagiza tarehe 6/6/2019 naendelea kuExtend buyer protection. Baadaye nikaagiza mizigo mingine 30/7/2019 nayo bado ni hivyo, nikaagiza mingine 6/8/2019 mmojawapo wa seller alikuwa mgeni katika haya mambo yaani hana muda mrefu na hata reviews zake zilikuwa chache na mzigo uliingia ndani ya mwezi na siku tano. Hivyo kama unataka kuagiza mzigo usiwakwepe sellers wapya maana wanawahisha sana kutuma mizigo kwa maana shipping method niliyotumia baadhi ya hao wacheleweshaji siyo tofauti na ya huyo seller mpya. Inaonekana hawa jamaa wanatuwekeaga tracking za uongo au tunapigwa mizigo yetu inapoingia Tz. Nasema hivyo kwa sababu kuna siku nimepokea mzigo ambao haukuonyesha kama umeingia Tz, sasa mzigo kama huo wakiupiga utajuaje kama uliingia Tz?
Au wataalamu mnasemaje.
Nimeshakatishwa tamaa sana na hii hali. Mwanzoni nilivyoanza haya manunuzi nilifurahia sana lakini sasa sina imani tena.Ni kweli mkuu, nahisi hizi tracking number sometime sio za kweli. Kuna nimeagiza kutoka China kupitia Singapore, baada ya siku kama 8 mzigo nilion aumeshaondoka kutoka Singapore kuja Tz, kikawaida huwa napokea mzigo ndani ya siku 16 mpaka 20 baada yakutumwa kutoka Singapore. Lakini mpaka ninavyoandika hapa kuna mizigo niliagiza nyuma ya hii iliyotanglia nimeshaipokea lakini hii iliyotangulia mpaka sasa bado haijafika Tz kutokea Singapore
Najiuliza inamaana kutoka Singapore ndege inaweza tumia karibia siku 15. Hapa kuna namna sio bure
Mi niliagiza toka tarehe 7/7 mpaka mwezi wa 9 bidhaa ilikuwa haijafika nikaomba anirudishie hela yangu.Nimeshakatishwa tamaa sana na hii hali. Mwanzoni nilivyoanza haya manunuzi nilifurahia sana lakini sasa sina imani tena.
Jana nimepokea mizigo kibao kutoka kwa sellers tofauti ukiwemo wa mwezi wa 6 mwanzoni uliosafirishwa na Yanwen Economic Air Mail, ila Yanwen iko slow sana na upotevu ni juu juu. Kidogo matumaini yanaanza kurudi.Mi niliagiza toka tarehe 7/7 mpaka mwezi wa 9 bidhaa ilikuwa haijafika nikaomba anirudishie hela yangu.
Amerudisha tena faster tu
Jana nimepokea mizigo kibao kutoka kwa sellers tofauti ukiwemo wa mwezi wa 6 mwanzoni uliosafirishwa na Yanwen Economic Air Mail, ila Yanwen iko slow sana na upotevu ni juu juu. Kidogo matumaini yanaanza kurudi.