Singapore post ,nimeipata Mizigo yangu janaSingapore post wako njema sana niliagiza mbara tarehe 21 august kufika 28 mzigo upo tz .tarehe 30 ukawa lindi mjin na tarehe 2 nimeupokea huku kijijin kwetu.
Mimi nimeorder simu mwezi unakaribia hawajatuma nataka ni cancel order. Je hela itarudi moja moja kwenye account ya vodacom mastercard?
angalia seller ambae anauza min pic 1 ila jiandae gharama ya usafiriWAKUU MTUELEKEZE JINSI YA KUNUNUA VITU VYA REJAREJA ALIBABA
Ni kubwa sana?angalia seller ambae anauza min pic 1 ila jiandae gharama ya usafiri
inategemea na shipping companies kuna HK hawa na 27-40USD kwa under 100pcs .. Muda ni 15-30daysNi kubwa sana?
CPM hawa jamaa ni manyau sana, the same case to me, nilifungua tu case sasa nasubiria refundSubiri final decision ya aliexpress team.
Shida hapo ni kwamba unaweza pewa pesa yako then baada ya siku mbili au tatu mzigo huooo.
Je utamrudishia tena seller hela zake?
Hicho ndicho wanachoangalia AE team maana wengi wagumu kufanya hivyo yaani inakuwa umepata mzigo bure cozi pesa umeweka kibindoni tayari.
China post Registered Mail sasa naikwepa coz hawana maana,
Nimeagiza tangu 04/07/
Mzigo haufiki tu so nimeclaim 08/08 Jana dispute ndio imekuwa closed so nasubiri refund iingie
Mimi nashangaa siku zingine wananipigia simu lakini round hii wamekaa navyo tu na wala hawakuhangaika kutafuta vilikuwepo hapo tu kama pambo. Isije ikawa labda vilikuwa na harufu nzuri wakaona waendelee kukamua.
Selle chimuke komandoo wa samora avenueSimu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Leo nimepokea Refund yangu kutoka AliSubiri final decision ya aliexpress team.
Shida hapo ni kwamba unaweza pewa pesa yako then baada ya siku mbili au tatu mzigo huooo.
Je utamrudishia tena seller hela zake?
Hicho ndicho wanachoangalia AE team maana wengi wagumu kufanya hivyo yaani inakuwa umepata mzigo bure cozi pesa umeweka kibindoni tayari.
China post Registered Mail sasa naikwepa coz hawana maana,
Nimeagiza tangu 04/07/
Mzigo haufiki tu so nimeclaim 08/08 Jana dispute ndio imekuwa closed so nasubiri refund iingie
Jana nimepokea refund yangu kutoka AliExOna sababu anazotoa huyu seller.View attachment 1197569
Swali langu kati ya CRDB na NMB ipi benki bora kwa kununua bidhaa online??
Kk ulisha wai agiza mzigo uko alibaba coz kunabaadhi ya viti huuzwa ata kimoja alafu cjawai jua wana nunuaje maaana kunasiku nilishawai jaribu wakataka namba ya mlipakodi ya biasharaAlibaba ni nyoko yaani wanauza bei ya jumla kuanzia PCs kadhaa afu seller wa mle hadi mbembelezane ndo akutumie moja moja kwa njia ya posta.
Kuna feature phone fulani hivi hazipatikani aliexpress kule Alibaba wanauza kuanzia 300 pics kwa bei chee but ukisema uchukue moja ni ghali mno
Hao jamaa ni wazuri kwa wafanyabiashara wanaofungasha mzigo mkubwa sio sisi end users
Mwagika sasa kk me bado c elewiniliangalia video youtube kuhusu kununua alibaba, made in china na Global sources sasa naelewa kila kitu
Mkuu ilikuwa ngumu ni sana mtu kukuelekeza kuna muda unaenda PM kwa mtu hakujibu au anajibu shortcut nikaona isiwe tabu nikaenda kwa kwa mwalimu wangu [Youtube] nikacheki video nyingi almost 3GB zilifia huko mwisho siku nikaelewa jinsi ya kununua Alibaba, Globalsources na Made in China.Mwagika sasa kk me bado c elewi
Ungetusaidia mkuu nasie tunaotaka kununua vitu rejareja kwa alibabaMkuu ilikuwa ngumu ni sana mtu kukuelekeza kuna muda unaenda PM kwa mtu hakujibu au anajibu shortcut nikaona isiwe tabu nikaenda kwa kwa mwalimu wangu [Youtube] nikacheki video nyingi almost 3GB zilifia huko mwisho siku nikaelewa jinsi ya kununua Alibaba, Globalsources na Made in China.
Baada ya hapo nikaanza ku-make deal na Suppliers , nikaona bado sielewi malipo yanakuaje bcoz nilijua huku ni kama Aliexpress, ikanibidi kurudi tena Youtube nikapua video nyingi za jinsi ya ku make payments alibaba baada ya hapo ndio nikajua kumbe ni lazima ku make payment kupitia Trade Insurance ili Mpunga wako uwe salama.
Baada ya hapo nikaanza ku chat na seller nia yangu ni kupata Shipping iliyo bora nikagundua Supplier wengi wanasema DHL Ndio Cheapest kwenye shipping ila kuna mmoja alisema nitumia HK [hongkong Shippinh], sikutaka mzigo upitie Kwenye meli.
Alibaba inahitaji umakini sana wa kumjua yupi ni Supplier bora na amekuwa verified na ana muda gani kwenye Game na je anakubali ku make payament kupitia TRADE INSUARANCE?. usipo angalia unapigwa Fasta kama Kariakoo vile.
Kama una wasiwasi na bidhaa husika unaweza kuomba kutumiwa sample.
Open dispute, fomu itakuingoza namna ya kufanya.Hvi wadau kuna kitu nilinunua kule ALIXPRESS. Bt wiki imepita tangu nilipie so leo naona Natumiwa txt na SELLER kama screenshort inavyoonyesha hapa chini.ila sitaki kuchange hyo color ya item so Hapo nafanyaje ili pesa yangu iludi?View attachment 1207734
Apply for Refund kama alivyosema hapoHvi wadau kuna kitu nilinunua kule ALIXPRESS. Bt wiki imepita tangu nilipie so leo naona Natumiwa txt na SELLER kama screenshort inavyoonyesha hapa chini.ila sitaki kuchange hyo color ya item so Hapo nafanyaje ili pesa yangu iludi?View attachment 1207734
Alibaba ni Wholeseller, aliexpress ndio rejerejaUngetusaidia mkuu nasie tunaotaka kununua vitu rejareja kwa alibaba