Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Singapore post wako njema sana niliagiza mbara tarehe 21 august kufika 28 mzigo upo tz .tarehe 30 ukawa lindi mjin na tarehe 2 nimeupokea huku kijijin kwetu.
 
Singapore post wako njema sana niliagiza mbara tarehe 21 august kufika 28 mzigo upo tz .tarehe 30 ukawa lindi mjin na tarehe 2 nimeupokea huku kijijin kwetu.
Singapore post ,nimeipata Mizigo yangu jana
Nimeipata ndani ya week 4(Mwezi)
IMG_20190907_190826_685.jpeg
 
Sijawahi pata tatizo kama hilo
Kabla hujaagiza kitu angalia na REVIEWS za wanunuzi ,je ni Nzuri au Mbaya kumhusu huyo Seller
Mimi nimeorder simu mwezi unakaribia hawajatuma nataka ni cancel order. Je hela itarudi moja moja kwenye account ya vodacom mastercard?
 
Subiri final decision ya aliexpress team.
Shida hapo ni kwamba unaweza pewa pesa yako then baada ya siku mbili au tatu mzigo huooo.
Je utamrudishia tena seller hela zake?
Hicho ndicho wanachoangalia AE team maana wengi wagumu kufanya hivyo yaani inakuwa umepata mzigo bure cozi pesa umeweka kibindoni tayari.
China post Registered Mail sasa naikwepa coz hawana maana,
Nimeagiza tangu 04/07/
Mzigo haufiki tu so nimeclaim 08/08 Jana dispute ndio imekuwa closed so nasubiri refund iingie
CPM hawa jamaa ni manyau sana, the same case to me, nilifungua tu case sasa nasubiria refund
 
Mimi nashangaa siku zingine wananipigia simu lakini round hii wamekaa navyo tu na wala hawakuhangaika kutafuta vilikuwepo hapo tu kama pambo. Isije ikawa labda vilikuwa na harufu nzuri wakaona waendelee kukamua.
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.

Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.

Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.

Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.

JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Selle chimuke komandoo wa samora avenue
 
Subiri final decision ya aliexpress team.
Shida hapo ni kwamba unaweza pewa pesa yako then baada ya siku mbili au tatu mzigo huooo.
Je utamrudishia tena seller hela zake?
Hicho ndicho wanachoangalia AE team maana wengi wagumu kufanya hivyo yaani inakuwa umepata mzigo bure cozi pesa umeweka kibindoni tayari.
China post Registered Mail sasa naikwepa coz hawana maana,
Nimeagiza tangu 04/07/
Mzigo haufiki tu so nimeclaim 08/08 Jana dispute ndio imekuwa closed so nasubiri refund iingie
Leo nimepokea Refund yangu kutoka Ali
 
Alibaba ni nyoko yaani wanauza bei ya jumla kuanzia PCs kadhaa afu seller wa mle hadi mbembelezane ndo akutumie moja moja kwa njia ya posta.
Kuna feature phone fulani hivi hazipatikani aliexpress kule Alibaba wanauza kuanzia 300 pics kwa bei chee but ukisema uchukue moja ni ghali mno
Hao jamaa ni wazuri kwa wafanyabiashara wanaofungasha mzigo mkubwa sio sisi end users
Kk ulisha wai agiza mzigo uko alibaba coz kunabaadhi ya viti huuzwa ata kimoja alafu cjawai jua wana nunuaje maaana kunasiku nilishawai jaribu wakataka namba ya mlipakodi ya biashara
 
Mwagika sasa kk me bado c elewi
Mkuu ilikuwa ngumu ni sana mtu kukuelekeza kuna muda unaenda PM kwa mtu hakujibu au anajibu shortcut nikaona isiwe tabu nikaenda kwa kwa mwalimu wangu [Youtube] nikacheki video nyingi almost 3GB zilifia huko mwisho siku nikaelewa jinsi ya kununua Alibaba, Globalsources na Made in China.

Baada ya hapo nikaanza ku-make deal na Suppliers , nikaona bado sielewi malipo yanakuaje bcoz nilijua huku ni kama Aliexpress, ikanibidi kurudi tena Youtube nikapua video nyingi za jinsi ya ku make payments alibaba baada ya hapo ndio nikajua kumbe ni lazima ku make payment kupitia Trade Insurance ili Mpunga wako uwe salama.

Baada ya hapo nikaanza ku chat na seller nia yangu ni kupata Shipping iliyo bora nikagundua Supplier wengi wanasema DHL Ndio Cheapest kwenye shipping ila kuna mmoja alisema nitumia HK [hongkong Shippinh], sikutaka mzigo upitie Kwenye meli.

Alibaba inahitaji umakini sana wa kumjua yupi ni Supplier bora na amekuwa verified na ana muda gani kwenye Game na je anakubali ku make payament kupitia TRADE INSUARANCE?. usipo angalia unapigwa Fasta kama Kariakoo vile.

Kama una wasiwasi na bidhaa husika unaweza kuomba kutumiwa sample.
 
Ungetusaidia mkuu nasie tunaotaka kununua vitu rejareja kwa alibaba
 
Hvi wadau kuna kitu nilinunua kule ALIXPRESS. Bt wiki imepita tangu nilipie so leo naona Natumiwa txt na SELLER kama screenshort inavyoonyesha hapa chini.ila sitaki kuchange hyo color ya item so Hapo nafanyaje ili pesa yangu iludi?
Capture%2B_2019-09-14-20-39-43.jpeg
 
65 Reactions
Reply
Back
Top Bottom