Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Wakuu msaada. Nataka kuagiza mzigo kutoka Aliexpress, najaza adress hapa, ila nimekwama hapo kwenye State/Province/Region. Anayejua cha kujaza hapo anaisaidie.
 
bro ahsante sana naanza kuelewa lakini sijajua vizuri malipo yanafanyika vipi nisaidie kuna kitu muhimu nataka kuagiza 0763444962.
 
Nimepokea meseji leo kutoka kwa wauzaji wa vitu kwa njia ya mtandao ikiniambia kwamba mzigo wangu umezuiwa customs na ni mzigo mdogo tu ambao nilifanya order yake mwezi wa 6 mwaka huu.
Sasa naomba kujua kama kweli custom wanawezazuia kamzigo kadogo namna hiyo au ni ujanja ujanja tu seller aliona hakuna maslahi akaamua kufanya anavyojua?
IMG_20190903_124522.jpeg
 
Nimepokea meseji leo kutoka kwa wauzaji wa vitu kwa njia ya mtandao ikiniambia kwamba mzigo wangu umezuiwa customs na ni mzigo mdogo tu ambao nilifanya order yake mwezi wa 6 mwaka huu.
Sasa naomba kujua kama kweli custom wanawezazuia kamzigo kadogo namna hiyo au ni ujanja ujanja tu seller aliona hakuna maslahi akaamua kufanya anavyojua? View attachment 1196558
Hapo ni seller kaona hapati faida so kaamua kuchana mkeka.
Pia wapo wengine ukishafanya payment wanakwambia shipping fee zipo juu so uongeze hela za ziada au cancel order akurefund
 
Hao ni sawa na wale wa eBay ambao wanauza vitu bei ya kutupa alafu ukishafanya payment wanaremove item.
Ebay huwa wanawaondoa kwenye system yao ila sijajua kama aliexpress wanafanya hivyo kwa seller wasumbufu
Sasa hivi najifunza kufanya manunuzi kule Alibaba maana naona mfumo wao siyo wa kuendea papara kama AliExpress yaani ule una kaugumu fulani unakuta seller mwingine kununua kwake ni kamlolongo na seller mwingine siyo kamlolongo. Ila AliExpress kuitumua ni simple sana, wako kidijitali asee.
 
Alibaba ni nyoko yaani wanauza bei ya jumla kuanzia PCs kadhaa afu seller wa mle hadi mbembelezane ndo akutumie moja moja kwa njia ya posta.
Kuna feature phone fulani hivi hazipatikani aliexpress kule Alibaba wanauza kuanzia 300 pics kwa bei chee but ukisema uchukue moja ni ghali mno
Hao jamaa ni wazuri kwa wafanyabiashara wanaofungasha mzigo mkubwa sio sisi end users
 
Kweli kabisa yaani kule Alibaba vitu ni bei nafuu sana ila shida niliyoona ni pamoja na hiyo ya mpaka uongee naye, kitu kingine sijakutana na seller anayelipwa kwa Mastercard halafu wawezapata bidhaa nzuri lakini pia hawalipwi kwa paypal.
 
Hivi Ku refund inachukua muda gani?.
Nilifungia dispute 14 Augost mwaka huu baada ya majadiliano na seller kugonga mwamba kila proposal yake ni reject coz sikupata order yangu, sasa hapa tunasubiri final decision kutoka aliexpress.

Nilifanya makosa kuwatumia China Post Registered Air mail sinc 08/7/2019 sijapata order yangu na estimated delivery time imeisha.
 
Alibaba ni nyoko yaani wanauza bei ya jumla kuanzia PCs kadhaa afu seller wa mle hadi mbembelezane ndo akutumie moja moja kwa njia ya posta.
Kuna feature phone fulani hivi hazipatikani aliexpress kule Alibaba wanauza kuanzia 300 pics kwa bei chee but ukisema uchukue moja ni ghali mno
Hao jamaa ni wazuri kwa wafanyabiashara wanaofungasha mzigo mkubwa sio sisi end users
niliangalia video youtube kuhusu kununua alibaba, made in china na Global sources sasa naelewa kila kitu
 
Hivi Ku refund inachukua muda gani?.
Nilifungia dispute 14 Augost mwaka huu baada ya majadiliano na seller kugonga mwamba kila proposal yake ni reject coz sikupata order yangu, sasa hapa tunasubiri final decision kutoka aliexpress.

Nilifanya makosa kuwatumia China Post Registered Air mail sinc 08/7/2019 sijapata order yangu na estimated delivery time imeisha.
Subiri final decision ya aliexpress team.
Shida hapo ni kwamba unaweza pewa pesa yako then baada ya siku mbili au tatu mzigo huooo.
Je utamrudishia tena seller hela zake?
Hicho ndicho wanachoangalia AE team maana wengi wagumu kufanya hivyo yaani inakuwa umepata mzigo bure cozi pesa umeweka kibindoni tayari.
China post Registered Mail sasa naikwepa coz hawana maana,
Nimeagiza tangu 04/07/
Mzigo haufiki tu so nimeclaim 08/08 Jana dispute ndio imekuwa closed so nasubiri refund iingie
 
Huyu Seller nimenunua bidhaa nyingi kwake kama itatokea nimerudishiwa pesa na mzigo ukafika nitafanya ubinadamu tu kumpa pesa yake.

kuna wengine hawa Malaysia Post since 8/7/2019 sijapata Order yangu na kila niki track inaonyesha mzigo umekwama South Africa tangu 19/8/2019 na muda umeisha jana, nimemtumia Seller Sms nione ataamua nini kabla sijafungua dispute..

Kuhusu China post warudisha nyuma sana, sasa nimepawa verification Aliexpress standard shipping kama wasafirishaji wangu no. 1.
 
Ndio hivyo China post hawaaminiki tena coz ile tofauti ya small packet plus na Registered mail imekuwa kama haipo.
Inabidi uingie gharama kuchagua Singapore post
 
Back
Top Bottom