Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,519
Mkuu umepiga parefu.Mastercad yako inapaswa kuwa na Tsh 2440 x 94.1 = 229, 604
Aliexpress rate of exchange ni 2440.
Exchange Rate aliexpress ni 2300 kilichomkwamisha jamaa ni Ile 4% transaction fee ya mpesa maana jamaa hawafanyi bure.