Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,519
Poa vuta subra ingawa wanazingua maana kila kitu kinaonyesha wazi seller ni Chenga.Nilisha fungua ila majibu yao wanasema mpka waongee na muzaji kwanza, waone anasemaje!
Poa vuta subra ingawa wanazingua maana kila kitu kinaonyesha wazi seller ni Chenga.Nilisha fungua ila majibu yao wanasema mpka waongee na muzaji kwanza, waone anasemaje!
Mimi nilinunua wireless headphone ninesubiri zaidi ya siku 60 kwa singapore post
Ndio nimepata leo
Mi nataka ya wiki tu!View attachment 1172881
Wewe utakuwa ulichagua 4PX Singapore Post OM pro ambayo inachelewa kinoma.
Singapore post yenyewe ilivyo faster ni hiyo niliyozungushia green rectangle jifunze kutofautisha
Mi nataka ya wiki tu!
Ni nimejaribu Ku track mzigo wangu lakini sijaona sehemu ya malipo aise,
Kuna Parcel yangu imekwama processing center[DSM] toka Augost, 1. kila niki-track inaonyesha item imefika kwenye processing center toka tarehe 1.8.2019, hivi hawa watu wana shida gani?View attachment 1173200
1.Aliexpress Premium Shipping
2.DHL
3.UPS Express saver
Shipping fee mkasi pia jiandae na panga la TRA
Percel inapofika bongo muwe mnajaribu kuingia website ya Posta tz halaf utaenda domestic trackingKuna Parcel yangu imekwama processing center[DSM] toka Augost, 1. kila niki-track inaonyesha item imefika kwenye processing center toka tarehe 1.8.2019, hivi hawa watu wana shida gani?
mimi kesho naenda kuwafuata. nami toka tr 1Kuna Parcel yangu imekwama processing center[DSM] toka Augost, 1. kila niki-track inaonyesha item imefika kwenye processing center toka tarehe 1.8.2019, hivi hawa watu wana shida gani?
Kwani wewe Umeelekeza mzigo ukufikie wapi?Kuna Parcel yangu imekwama processing center[DSM] toka Augost, 1. kila niki-track inaonyesha item imefika kwenye processing center toka tarehe 1.8.2019, hivi hawa watu wana shida gani?
Hapa inaonyesha kama vile TRA wameushikilia mzigo wako so wa Nahitaji ukalipie % yao.mimi kesho naenda kuwafuata. nami toka tr 1View attachment 1173775
MbeyaKwani wewe Umeelekeza mzigo ukufikie wapi?
Fuatilia postaMbeya
Sawa MkuuFuatilia posta
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Mimi toka tarehe 25/7/2019 Mzigo wangu uliingia Dar na tarehe 26/07/2019 ukawa Kariakoo mpaka sasa hivi inaonyesha umeingizwa kwenye limfuko la domestic sijui linalinganaje sasa au mzigo umejibanza kwenye kona ya limfuko hilo hahahahahaha!?Kuna Parcel yangu imekwama processing center[DSM] toka Augost, 1. kila niki-track inaonyesha item imefika kwenye processing center toka tarehe 1.8.2019, hivi hawa watu wana shida gani?
Nenda posta ukaulizie,mara nying huwa unakuwa upo nchini sema wanashindwa kufanya alocation km unakuwa hujaweka address sahihi.Wakuu niliagiza kitu sasa baada ya muda naambiwa delivery failed ..Nimejaribu kuwasiliana na seller lkn hajibu ..Na nikijaribu kufungua Dispute naambiwa "under construction"..Aliexpress
Hiyo delivery failed ina maana uliweka physical address (Zip Code) ambapo kwa hapa Tz bado hatujaanza kuzitumia, hivyo hiyo ndiyo iliyofail ila bado kuna option ya pili ya kwenda posta wewe mwenyewe au subiri watakupigia simu wenyewe.Wakuu niliagiza kitu sasa baada ya muda naambiwa delivery failed ..Nimejaribu kuwasiliana na seller lkn hajibu ..Na nikijaribu kufungua Dispute naambiwa "under construction"..Aliexpress
We upo wapi kwani Nko?