Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

umeagiza lini na Shipping gani ulitumia?
Sie tunaagiza Aliexpress na kuchagua Standard Shipping au Singapore post ili mzigo ufike haraka ndani ya wiki 3
Hadumini mkuu( Microscope) Ilikuwa eBay, muuazaji alikuwa wa China, naona kila niiingia siteyake item removed, Ndo eBay wakasema nisubilie mpka 22/08/2019 ndo nifungue kesi,
 
Ngoja nami nianze kutumia hii company,
Ili mzigo ufike si nitumie anuani ya posta au hata ya kwangu ya kazini, mzigo unaweza nifikia?
 
Yes Anwani ya Binafsi,Taasisi au Hata ya kazini zote zinafaa.
Kama ndio mara ya kwanza Jisajiri Aliexpress kwa kujaza detail zako muhimu then anza kuagiza.
Ila kila unapoagiza kumbuka kuchagua Courrier kama ifuatavyo:-

shipping.JPG
na

1.kama utachagua hao niliozungushia rangi nyekundu kama watawahisha mzigo wako utapokea ndani ya siku 30 na wakichelewesha utasubiri hadi siku 90 au zaidi.
Ni mara chache sana ndio unaweza kuwahi.

2.Hapo kwenye Blue wakiwahi ni siku 23 ila hawatabiriki inaweza ikachukua mwezi na siku kadhaa.

3.Orange hiyo ndio standard shipping ila wakati mwingine inaweza Ikaandikwa Singapore post, hao ndio wakombozi wetu maana mzigo unafika ndani ya siku 23 na ukichelewa sana ni wiki 5 ila wakati mwingine inatokea mzigo unaingia ndani ya siku 12.
NB. Gharama za shipping inategemea alivyopanga Seller
 
View attachment 1171194na

Asante sana mkuu, ngoja nijaribu Ku order kitu kidogo, kikinifikia ndo nianze mizigo mikubwa,
 
Mkuu samahan hapa kwenye
Address:
Contact name____________
Mobile number___________
Hapo kwenye mobile hapo niandike ya kwangu? Au ile ya mwenye sanduku LA posta nataka nitumie LA kituo flani cha redio
Karibu Ndugu,
Anza na SD card,Flash,Saa na vingine kama hivyo
 
Jamani naomba ushauri. Nimenunua helmets mbilli Aliexpress kama wiki mbili sasa zimesha pita Cha kushangaza hadi sasa imeandikwa waiting for dispatch, na nikijaribu kuitizama inaonesha item is no item. Nifanyaje hapo? Msaada please
 
Chat na seller ukiona haeleweki fungua dispute ila ni vizuri ukatuambia ulichagua Courrier (shipping Method)gani?
 
Hadumini mkuu( Microscope) Ilikuwa eBay, muuazaji alikuwa wa China, naona kila niiingia siteyake item removed, Ndo eBay wakasema nisubilie mpka 22/08/2019 ndo nifungue kesi,
kama ebay open dispute mkuu maana hamna kinachoendelea hapo ukizubaa hela inaenda hiyo.
Tayari umeshaambiwa item removed kwamaana kwamba mara tu ulipofanya malipo seller kaiondoa hiyo bidhaa na wala hajaship kuja kwako
 
China Post Registered Air Mail
Baadhi ya seller wanakuwa out of stock yaani bidhaa husika inakuwa imesha hivyo wa nasubiri waletewe nyingine ndo wakutumie au wakati mwingine wa azembea tu.
Fungua dispute ndugu, seller atakuja kujiongeza mbele kwa mbele
 
Yes Anwani ya Binafsi,Taasisi au Hata ya kazini zote zinafaa.
Kama ndio mara ya kwanza Jisajiri Aliexpress kwa kujaza detail zako muhimu then anza kuagiza.
Ila kila unapoagiza kumbuka kuchagua Courrier kama ifuatavyo:-

View attachment 1171194na

1.kama utachagua hao niliozungushia rangi nyekundu kama watawahisha mzigo wako utapokea ndani ya siku 30 na wakichelewesha utasubiri hadi siku 90 au zaidi.
Ni mara chache sana ndio unaweza kuwahi.

2.Hapo kwenye Blue wakiwahi ni siku 23 ila hawatabiriki inaweza ikachukua mwezi na siku kadhaa.

3.Orange hiyo ndio standard shipping ila wakati mwingine inaweza Ikaandikwa Singapore post, hao ndio wakombozi wetu maana mzigo unafika ndani ya siku 23 na ukichelewa sana ni wiki 5 ila wakati mwingine inatokea mzigo unaingia ndani ya siku 12.
NB. Gharama za shipping inategemea alivyopanga Seller
SingPost kuna items niliagiza ndani ya siku 10 zipo mkononi.
 
Yes ishawahi kutokea yaani siku ya 8 tu Nilipata notification "parcel arrived destination country" Sema kuitia mkononi ikawa siku 4 mbele.
Wale wamama wanakuwa wavivu kucheck mzigo wakati mwingine utakuta furushi toka GPO alijafunguliwa bado nao wanaoana uvivu ndo utakuta wanatoa jibu la haraka haraka kwamba parcel yako haijafika bado
 
Back
Top Bottom