daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 2,496
- 2,201
Unanunua kwa mpesa mastercardmkuu naomba mwongozo je nikishakuwa na m pesa master card nanunua moja kwa moja au lazima nijiunge na pay pal
Unanunua kwa mpesa mastercardmkuu naomba mwongozo je nikishakuwa na m pesa master card nanunua moja kwa moja au lazima nijiunge na pay pal
Hakuna haja ya kujiunga na paypalmkuu naomba mwongozo je nikishakuwa na m pesa master card nanunua moja kwa moja au lazima nijiunge na pay pal
Hakuna malipo CRDB watakayokucharge bali kuna conversion/ rate toka Tsh to DollarSalama wakuu
Nataka kufanya malipo ya kununua machine alibaba seller nataka nimlipe kupitia PayPal payment ni kama $4500
Sasa nauliza kutoka CRDB Kwenda PayPal kuna makato yoyote kama yapo ni asilimia ngapi?
Nataka nifanye malipo leo
Asante sana mkuu ngoja nimalizane nae sasaHakuna malipo CRDB watakayokucharge bali kuna conversion/ rate toka Tsh to Dollar
Nimefanikiwa nimepasa sms kutoka posta kuwa parcel imefikaTracking number zinazoanziwa na LAO mara huwa na namba pamoja na herufi 17 mfano LAODD1008098114XX, Na kwa system ya posta yetu tracking number zinaingizwa kwenye system ni 13 tu mfano UX293510578CN. kwa hivyo mzigo wako ukifika nchini kinachofanywa ni kuuwekea track number nyingine, na ni ngumu kufahamu hiyo tracking number mpya.
hivyo ni vema uwe unatembelea posta kuangalia kama kuna mzigo wako
Nimefanikiwa nimepasa sms kutoka posta kuwa parcel imefika
Unanunua kwa mpesa mastercard
Ulizia hapo posts ulipochukua parcel inawezekana wamesahau hiyo ya Pili,Mimi ilitokea hivyo wiki moja iliyopita,kumbe yule anayechapisha vile vikaratasi vya kupokelea mzigo alisahau ikabidi akichape muda huo huo na nikapewa mzigo wangu,na ilikuwa posta ya mkoaniNilinunua visaa viwili kwa siku moja na zilifika nchini siku moja zote lakini nimefika posta nimepata parcel ya saa moja tu wazoefu wa kununua online tatizo linaweza kuwa posta? Mimi niko mkoani
Naomba kujua posta walikucharge shiling ngapi?Nilinunua visaa viwili kwa siku moja na zilifika nchini siku moja zote lakini nimefika posta nimepata parcel ya saa moja tu wazoefu wa kununua online tatizo linaweza kuwa posta? Mimi niko mkoani
Ulizia hapo posts ulipochukua parcel inawezekana wamesahau hiyo ya Pili,Mimi ilitokea hivyo wiki moja iliyopita,kumbe yule anayechapisha vile vikaratasi vya kupokelea mzigo alisahau ikabidi akichape muda huo huo na nikapewa mzigo wangu,na ilikuwa posta ya mkoani
Walichukua 1500Posta wanachukua bei gani..?
Ulkagiza nini mkuu..?Walichukua 1500
Kwa upande wangu toka nimeanza kuagiza bidhaa sijawahi kutozwa gharama yoyotePosta wanachukua bei gani..?
Tengeneza kadiHii unalipaje boss??
Chagua kwenye hizo kadiNmekwamia hapo
Nataka kutumia mpesa master card sielewi nachagua wapi apo!View attachment 1144279
Kuna namba za Mpesa master card zipo 16 pamoja CCV ...Chagua kwenye hizo kadi
CVV ndo security codeKuna namba za Mpesa master card zipo 16 pamoja CCV ...
Nazijazaje apo mkuu!
MsaadaView attachment 1144363