Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,629
Itakuwa ulitumia unregistered mail, sababu Singapore post registered huwa haichukui zaidi ya wiki tatu mzigo kufika nchini.Mimi niliagiza mfuniko wa sumu yangu tangu tarehe 25/2/2019 na estimated delivery date was 21/4/2019 nikachek naona wanasema mpk 10/5/2019 nikachek tena nakuta wame expand muda mpaka 25 mwezi huu 5 na nikiangalia ndege haijatua na nilitumia shipping ya Singapore