Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,562
- 18,584
Matapeli + HackerK sawa wanakua hucker or matapeli
Mfano hai.
- Kuna miamala 17 ilifanyika ebay/paypal kupitia account yangu, bila idhini yangu.
- Nikawasiliana na paypal , nikawapa taarifa, wakafanya uchunguzi juu ya hio miamala na fedha yote ikarudishwa.
Sehemu ya attachment nikitoa taarifa bank warudishe fedha kwenye account yangu baada ya paypal kurudisha.
Hivyo kuwa makini na EBAY, ni salama ila sio salama pia.