Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,519
Mkuu kwa wasio na box ndio wanapokelea G. P.O ila wenye masanduku mzigo wanachukua ktk posta husika!!Kwa dar hawaweki parcel kwenye visanduku mzigo parcel zote makao makuu posta mpya ndipo pakuchukulia mzigo wako,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwaka wa 4 huu mizigo yangu nachukulia pale Chang'ombe maduka mawili.