Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Ebay ni shida sana niliagiza hair clippers nikafanya malipo vizuri ikawa comfemed, baada ya siku 5 naambiwa supplier ac yake imeingiliwa so wanarefund waliniboa kweli.

Sina mpango wa kununua ebay bora nibaki na Aliexpress na Gearbest
Kati ya izi ipi poa apa
Amazon
Ebay
Alibaba
Ali Express
Gearbest

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hawa wachina wa kuitwa kikuu,jamaa wamerahisisha kila kitu,unaagiza mzigo unalipia kwa tigo pesa,airtel money au m pesa tena Tzs na unapokea mzigo kwa wakati,jamaa hawana longo longo
 
Wakuu nimeagiza mzigo AliExpress umefika according lakini mbona sijapigiwa simu Na Hawa posta au natakiwa enda physically mwenyewe Na nilitumia address ubungo DSM sasa itakuwa imeenda posta ya ubungo au ile ya mjini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umetumia Box ambalo lipo ubungo fatilia pale Ubungo pamoja na Card yako ya postal au vitambulisho Cha kura/Taifa then angalia kwenye box lako Kama Kuna kikaratasi Cha kusaini au ulizia wako.
Mengine mtamalizana hapo hapo
 
Wafanyakazi wa posta na wao ni mizigo pia mzigo Ukifika wanauchelewesha hawana support yeyote unaweza kusubiri hata siku tano wasithibitishe kuupokea, siku wakiamua watakutumia msg uende ukachukue mzigo wako. Parcel zote sasa hv ni posta mpya hata kama una sanduku Mbagala ubungo gongolamboto nk. Kwa dar es Salaam
Wakuu nimeagiza mzigo AliExpress umefika according lakini mbona sijapigiwa simu Na Hawa posta au natakiwa enda physically mwenyewe Na nilitumia address ubungo DSM sasa itakuwa imeenda posta ya ubungo au ile ya mjini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyakazi wa posta na wao ni mizigo pia mzigo Ukifika wanauchelewesha hawana support yeyote unaweza kusubiri hata siku tano wasithibitishe kuupokea, siku wakiamua watakutumia msg uende ukachukue mzigo wako. Parcel zote sasa hv ni posta mpya hata kama una sanduku Mbagala ubungo gongolamboto nk. Kwa dar es Salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu utaratibu umeanza 2019 ?

Kama ulipewa track namba mzigo ukishafika unapaswa uufatilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom