Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,571
- 18,595
- Kwakuwa hufahamu Paypal ni nini?, Na umeshindwa ku-Google au kutafuta hapa JF;Hapana
- Basi Nakushauri usijiusishe na manunuzi mtandaoni, utakuwa salama zaidi.
- Kwakuwa hufahamu Paypal ni nini?, Na umeshindwa ku-Google au kutafuta hapa JF;Hapana
ShukraniKwakuwa hufahamu
- Paypal ni nini?
- Nakushauri usijiusishe na manunuzi mtandaoni, utakuwa salama zaidi.
Hii ni seriouly au nataka
Ivi postcode unatakiwa ujaze nini na Wakati huna sanduku la posta??Ndio cha msingi ni kiweka physical addresa yako,postcode ya sehem ulipo na no. Ya simu
Kati ya izi ipi poa apaEbay ni shida sana niliagiza hair clippers nikafanya malipo vizuri ikawa comfemed, baada ya siku 5 naambiwa supplier ac yake imeingiliwa so wanarefund waliniboa kweli.
Sina mpango wa kununua ebay bora nibaki na Aliexpress na Gearbest
Aliexpress
Inategemea mkuu inaweza kuwa wiki 3,4,5,6Habari wanazengo kwa yoyote ambaye amewahi kununua kutoka aliexpress akiwa Tanzania inachukua muda gani kupokea mzigo..(delivery)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanya delivery kwa muda gani?Kuna hawa wachina wa kuitwa kikuu,jamaa wamerahisisha kila kitu,unaagiza mzigo unalipia kwa tigo pesa,airtel money au m pesa tena Tzs na unapokea mzigo kwa wakati,jamaa hawana longo longo
Kama umetumia Box ambalo lipo ubungo fatilia pale Ubungo pamoja na Card yako ya postal au vitambulisho Cha kura/Taifa then angalia kwenye box lako Kama Kuna kikaratasi Cha kusaini au ulizia wako.Wakuu nimeagiza mzigo AliExpress umefika according lakini mbona sijapigiwa simu Na Hawa posta au natakiwa enda physically mwenyewe Na nilitumia address ubungo DSM sasa itakuwa imeenda posta ya ubungo au ile ya mjini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi posta ya ubungo iko wapi mkuu huwezi amini niliandika tu lakini sijawahi jua iko wapiKama umetumia Box ambalo lipo ubungo fatilia pale Ubungo pamoja na Card yako ya postal au vitambulisho Cha kura/Taifa then ulizia mzigo wako.
Kama umetumia Box ambalo lipo ubungo fatilia pale Ubungo pamoja na Card yako ya postal au vitambulisho Cha kura/Taifa then angalia kwenye box lako Kama Kuna kikaratasi Cha kusaini au ulizia wako.
Mengine mtamalizana hapo hapo
Wakuu nimeagiza mzigo AliExpress umefika according lakini mbona sijapigiwa simu Na Hawa posta au natakiwa enda physically mwenyewe Na nilitumia address ubungo DSM sasa itakuwa imeenda posta ya ubungo au ile ya mjini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu utaratibu umeanza 2019 ?Wafanyakazi wa posta na wao ni mizigo pia mzigo Ukifika wanauchelewesha hawana support yeyote unaweza kusubiri hata siku tano wasithibitishe kuupokea, siku wakiamua watakutumia msg uende ukachukue mzigo wako. Parcel zote sasa hv ni posta mpya hata kama una sanduku Mbagala ubungo gongolamboto nk. Kwa dar es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sorry nilikuwa nje ya JF!!!Hivi posta ya ubungo iko wapi mkuu huwezi amini niliandika tu lakini sijawahi jua iko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app