Kibo Jr
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 517
- 275
Mkuu naomba namba yako ya whatsapp uniagizie mzigoHiki kitu hakipo.
Sytem ya malipo hairuhusu kufanyia malipo bidhaa isiyokuwepo.
Au nicheki namba yangu 0746510577
Mkuu naomba namba yako ya whatsapp uniagizie mzigoHiki kitu hakipo.
Sytem ya malipo hairuhusu kufanyia malipo bidhaa isiyokuwepo.
Tafuta kadi kwenye benki nyingine.Naombeni mnisaide kama kuna mtu ana uzoefu na utatuzi wa tatizo hili.
Mawasiliano nimeweka hapa: www.bit.ly/101buy4me posti ya kwanzaMkuu naomba namba yako ya whatsapp uniagizie mzigo
Au nicheki namba yangu 0746510577
Hawana virtual master cardKwa ambao hatutumii M-Pesa vipi mkuu Tigo Pesa nao wana hiyo huduma.
www.bit.ly/101buy4meNgoja na mm niagize satfinder kupitia poster
usalama wa account yangu utakuwaje.?? Jesus inaweza Leta shidaHABARI NJEMA KWA WAKUU
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
Amazonpazuri na pa uhakika
Asante sanaAmazon
- Ni bora zaidi.
- Hakuna ubabaishaji ambao hujitokeza ebay ( mfano kwa ebay ; Bidhaa ya US $900 wanakuandikia US $60, ukilipia bidhaa inaondolewa na kuanza utaratibu wa refund )
Ila site zote ni salama iwapo unajua nini unachokifanya.
hatakama ukiwa huna sanduku la posta unaweza agizaSimu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Ndio cha msingi ni kiweka physical addresa yako,postcode ya sehem ulipo na no. Ya simuhatakama ukiwa huna sanduku la posta unaweza agiza
Mfano huo hapo chinihatakama ukiwa huna sanduku la posta unaweza agiza
Ebay ni shida sana niliagiza hair clippers nikafanya malipo vizuri ikawa comfemed, baada ya siku 5 naambiwa supplier ac yake imeingiliwa so wanarefund waliniboa kweli.Amazon
- Ni bora zaidi.
- Hakuna ubabaishaji ambao hujitokeza ebay ( mfano kwa ebay ; Bidhaa ya US $900 wanakuandikia US $60, ukilipia bidhaa inaondolewa na kuanza utaratibu wa refund )
Ila site zote ni salama iwapo unajua nini unachokifanya.
#1. Soma maelekezo yaliyowekwa apa: www.bit.ly/101buy4menme shindwa msaada please nme check ipo moja wanasema hawa ship to tanzania nafanyeje?
Mkuu ninashida ya kioo na touch ya Samsung j8(2016) copy,unaweza niagizia?#1. Soma maelekezo yaliyowekwa apa: www.bit.ly/101buy4me
#2. Utanipa link/screenshot ya item husika.
#3. Nitakupa ghalama kamili ya kufikisha mzigo Tz
Karibu
Mkuu hivi unanishaurije nikifanya malipo direct kwa seller bila kupitia paypal#1. Soma maelekezo yaliyowekwa apa: www.bit.ly/101buy4me
#2. Utanipa link/screenshot ya item husika.
#3. Nitakupa ghalama kamili ya kufikisha mzigo Tz
Karibu
Je unadhani ni kwanini tunapitishia malipo paypal?Mkuu hivi unanishaurije nikifanya malipo direct kwa seller bila kupitia paypal
NdioMkuu ninashida ya kioo na touch ya Samsung j8(2016) copy,unaweza niagizia?
HapanaJe unadhani ni kwanini tunapitishia malipo paypal?