Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mtandao gani uko fresh kuagiza bidhaa mtandaoni maana huwa kinakifaa nahitaji ila sijui yupi mkweli ambaye kitu kinaweza kufika kwa wakati
 
Mtandao gani uko fresh kuagiza bidhaa mtandaoni
Site zote zilizopendekezwa hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa (Ni salama na bidhaa husika utaipata)

kufika kwa wakati
Kufika kwa wakati - Hutegemea njia ya usafirishaji utakayotumia,
Kuhusu njia ya usafirishaji na muda utakao subiri pitia hii link: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase) ( Hapo soma post namba 15)
upload_2018-4-2_7-50-42.png

Je bado hujapata uchaguzi sahihi?
- Pendekezo: Tumia AMAZON na EBAY UK
- Iwapo utakuwa na shida zaidi usisite kuuliza kupitia hii thread au andika kwenye hii thread hapa: www.bit.ly/101buy4me

KARIBU
 
Site zote zilizopendekezwa hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa (Ni salama na bidhaa husika utaipata)

Kufika kwa wakati - Hutegemea njia ya usafirishaji utakayotumia,
Kuhusu njia ya usafirishaji na muda utakao subiri pitia hii link: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase) ( Hapo soma post namba 15)
View attachment 731896
Je bado hujapata uchaguzi sahihi?
- Pendekezo: Tumia AMAZON na EBAY UK
- Iwapo utakuwa na shida zaidi usisite kuuliza kupitia hii thread au andika kwenye hii thread hapa: www.bit.ly/101buy4me

KARIBU
Mkuu nina shida na adroind app moja hivi ipo Playstore nimejaribu kununua kwa njia ya Visa card ya Equity, Bank ABC zoote zinagoma. Napata ujumbe correct card info or try different card nifanyeje mkuu na nina shida na hyo app
 
Mkuu nina shida na adroind app moja hivi ipo Playstore nimejaribu kununua kwa njia ya Visa card ya Equity, Bank ABC zoote zinagoma.
1. Tumia PC kuingiza taarifa za kadi yako.
- Login kwenye account yako ya GMAIL
- Kisha fungua: Redirecting...
- ADD card na jaza taarifa husika, Save.

2. Rudi kwenye simu, Fungua app husika na ingia kwenye kipengele cha kufanyia malipo.

3. Namba za mwishoni za kadi uliyoweka hatua ya kwanza utaziona, utathibitisha na kukamilisha muamala.
 
Mkuu nahitaji video and sound recording device iwe dogo sana
 
1. Tumia PC kuingiza taarifa za kadi yako.
- Login kwenye account yako ya GMAIL
- Kisha fungua: Redirecting...
- ADD card na jaza taarifa husika, Save.

2. Rudi kwenye simu, Fungua app husika na ingia kwenye kipengele cha kufanyia malipo.

3. Namba za mwishoni za kadi uliyoweka hatua ya kwanza utaziona, utathibitisha na kukamilisha muamala.
Mkuu Pamoja na kufuata maelekezo yako, ila bado napata ujumbe ule ule sasa sijui tatizo nini..au tatizo litakuwa kwa Kadi??
 
msaada wakuu.. nahitaji kuagiza camera ebay ila sifaham jinsi ya kutumia huu mtandao.. mwenye kujua naomba msaada wa maelekezo
 
65 Reactions
Reply
Back
Top Bottom