Ulikuja kwa njia ya posta na kodi sikulipa kiasi chochote kile.mkuu vipi kodi baada ya mzigo kufika bongo walikutoza kiasi gani? na mzigo uliupokea kwa njia gani ?
Site zote zilizopendekezwa hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa (Ni salama na bidhaa husika utaipata)Mtandao gani uko fresh kuagiza bidhaa mtandaoni
Kufika kwa wakati - Hutegemea njia ya usafirishaji utakayotumia,kufika kwa wakati
Mkuu nina shida na adroind app moja hivi ipo Playstore nimejaribu kununua kwa njia ya Visa card ya Equity, Bank ABC zoote zinagoma. Napata ujumbe correct card info or try different card nifanyeje mkuu na nina shida na hyo appSite zote zilizopendekezwa hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa (Ni salama na bidhaa husika utaipata)
Kufika kwa wakati - Hutegemea njia ya usafirishaji utakayotumia,
Kuhusu njia ya usafirishaji na muda utakao subiri pitia hii link: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase) ( Hapo soma post namba 15)
View attachment 731896
Je bado hujapata uchaguzi sahihi?
- Pendekezo: Tumia AMAZON na EBAY UK
- Iwapo utakuwa na shida zaidi usisite kuuliza kupitia hii thread au andika kwenye hii thread hapa: www.bit.ly/101buy4me
KARIBU
1. Tumia PC kuingiza taarifa za kadi yako.Mkuu nina shida na adroind app moja hivi ipo Playstore nimejaribu kununua kwa njia ya Visa card ya Equity, Bank ABC zoote zinagoma.
Mkuu nahitaji video and sound recording device iwe dogo sana1. Tumia PC kuingiza taarifa za kadi yako.
- Login kwenye account yako ya GMAIL
- Kisha fungua: Redirecting...
- ADD card na jaza taarifa husika, Save.
2. Rudi kwenye simu, Fungua app husika na ingia kwenye kipengele cha kufanyia malipo.
3. Namba za mwishoni za kadi uliyoweka hatua ya kwanza utaziona, utathibitisha na kukamilisha muamala.
Mkuu Pamoja na kufuata maelekezo yako, ila bado napata ujumbe ule ule sasa sijui tatizo nini..au tatizo litakuwa kwa Kadi??1. Tumia PC kuingiza taarifa za kadi yako.
- Login kwenye account yako ya GMAIL
- Kisha fungua: Redirecting...
- ADD card na jaza taarifa husika, Save.
2. Rudi kwenye simu, Fungua app husika na ingia kwenye kipengele cha kufanyia malipo.
3. Namba za mwishoni za kadi uliyoweka hatua ya kwanza utaziona, utathibitisha na kukamilisha muamala.
chief pole na majukumu?nna samsang s5 screen ilivujia wino.siwezi pata cha kuliplace cha bei nafuu?mkuu umekipokelea wapi? yani hamu yangu kubwa ni kujua process ya shiping ipoje
kajaribu kwa mafundi aggrey. kama wanachochief pole na majukumu?nna samsang s5 screen ilivujia wino.siwezi pata cha kuliplace cha bei nafuu?
Ndio inawezekana, kuna uzi wake maaluma hapa: www.bit.ly/101buy4mena bidhaa ambazo shipping haipo ya tz naona ni kama zote je ukiwa bongo unaeza kuipata!???
asante sana
msaada wakuu.. nahitaji kuagiza camera ebay ila sifaham jinsi ya kutumia huu mtandao.. mwenye kujua naomba msaada wa maelekezo