Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Ok wauzaji Wengi toka US hawana option ya kutuma huku Africa, cha kufanya ni kama una mtu kule iende kwake na mara nyingi within US inakuwa free shipping then huyo mtu wako afanye utaratibu wa kukutumia huku

Mkuu nimependa sana, niliwasiliana na ndugu yangu ili anunue yeye anitumie, akasema, lazima nilipie ushuru na mambo kibao, ila pia sijajua gharama za kutuma kuja huku haiwezi kuwa very expensive? Na mzigo kama tv, unaweza kufika bila kuharibika kweli? Naomba unijuze mkuu!
 
Hi,

Nimenunua watch from a seller with 99.9% positive feedback and he is in Germany. nimem contact before sijafanya payment kasema ana ship kwa DHL...

Hii ni mara ya pili nafanya online purchasing, mara ya kwanza tablet mpaka leo haijafika since march na nilikuwa refunded half ya pesa niliyolipa... baada ya hapo seller hajibu email yangu yoyote na nilifungua case paypal walipiga chini....

ikala kwangu nusu nzima...

Ntawapa feedback watu wangu wa nguvu tusubiri hizo siku kadhaa....
 
Mkuu hujaeleweka umenunua mwanzoni hawajakutumia mzigo wakko ukaona haitoshi ukaagiza tena mzigo wa huo saa mpaka sasa bado hawajakutumia chochote huoni kuwa unalizwa bila kujijua ?

Unatumia wakala yupi kukufikishia mzigo wako au unafanyaje unapofanya manunuzi mkuu?

Kuwa makini kwenye mitandao kuna matapeli wengin siku hizi kuwa makini unavyoagiza kitu na uwe na uhakika wa kufikishiwa mzigo wako ivinginevyo utakuwa unawapa watu hela zako pasipo kujijua na unaambulia kulalama huku wakati ushachelewa ila pole mwaya endelea kufuatilia uone utapataje?
 
Wakuu tafdhali naomba kujua kuhusu kodi, ni kwamba tofauti na dhl hizo kampuni nyingne za usafirishaji kama posta na nyingnezo nazo pia suala la kodi ni lazima ulipie?

Kwa mfano nimeagiza simu au nguo za kuvaa labda moja hii imekaaje wakuu naomba kujuzwa maana nimekuwa inspired sana na hii mostly ktk bei ni very cheap.
 
tthanks ngoja nijaribu kidogo tuone
unajua kila kitu au jambo unajaribu ukiona chafaa unaingia kukifanya
ladyfurahia for the first my item (watch) nilionunua ebay from Germany imefika within ten days leo nimeenda posta nakuta mzigo wangu.... its possible ila tablet ndo juu kwa juu mpaka leo kimya...

20141112_100356.jpg 20141112_100356.jpg
 
Last edited by a moderator:
wakuu tafdhali naomba kujua kuhusu kodi, ni kwamba tofauti na dhl hizo kampuni nyingne za usafirishaji kama posta na nyingnezo nazo pia suala la kodi ni lazima ulipie? kwa mfano nimeagiza simu au nguo za kuvaa labda moja hii imekaaje wakuu naomba kujuzwa maana nimekuwa inspired sana na hii mostly ktk bei ni very cheap.


  • Ni kweli kwa DHL lazima ulipe kodi isipokuwa Computer na computer parts ndio hazina kodi
  • KUpitia Posta kuna uwezekano mkubwa wa kutolipa kodi, Wengi huagiza mizigo mikubwa kupitia POSTA na wanachukua mzigo pasipo kulipia kodi
 
Jamani wadau vp Kuhusu kaymu hapa bongo kwa kuuza vitu on line hawana usani wowote Na je ukinunua kitu kn line unaletewa kweli au magumashi tuuu mnajua tujuzane wakuuuu
 
Jamani wadau vp Kuhusu kaymu hapa bongo kwa kuuza vitu on line hawana usani wowote Na je ukinunua kitu kn line unaletewa kweli au magumashi tuuu mnajua tujuzane wakuuuu
 
Jamani wadau vp Kuhusu kaymu hapa bongo kwa kuuza vitu on line hawana usani wowote Na je ukinunua kitu kn line unaletewa kweli au magumashi tuuu mnajua tujuzane wakuuuu

Nimewaona hawa watu na mie pia wana apps yao kabisa dah but cjajaribu kununua bidha kwao but watakaja wadau apa waseme ni vp
 
Inakuwa refunded mara unapo verrify account yako ya paypal. Verification code inapatikana kwenye bank acc statement yako on the first transcation you made with paypal.
 
Inakuwa refunded mara unapo verrify account yako ya paypal. Verification code inapatikana kwenye bank acc statement yako on the first transcation you made with paypal.
kwahiyo inatakiwa nikishafanya transaction ya kwanza nikachukue bank statement, na siwez kufanya transaction zaidi ya moja kabla sijafanya verification?
 
Unaweza kuendelea kufanya transaction bila ku-verify acc yako ya paypal, ILA hutakuwa refunded hiyo $1.95 na pia kuna sellers ambao hawauzi item kwa acc ambayo haijawa verified.

Normaly verification code ni namba kama nne hivi ambazo hutokea kwenye bank statement yako mara baada ya kufanya ya transcation ya kwanza.

Also kama una acc ya banc ABC hiyo hela itaingia moja kwa moja kwenye acc yako na utapata sms kuwa $1.95 imeingizwa kwenye acc yako.

Sijui kwa bank nyingine utaratibu ukoje. Nadhani nimeeleweka kateka.
 
Back
Top Bottom