Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mimi ni mtumiaj wa ebay zaidi ya 3year niliunganisha viza card ya crdb ili kuweza kulipia kitu chochote online but shida some times inapoitajika kurudishiwa hela inaenda on my paypal account but ikishaingia siwezi kuitumia labda ninunue kitu kingine au iende on my bank account please msaada jinsi ya kuitoa hii hela kutoka paypal au kununua kitu kingine kutumia hii hela
 
Mkuu sidhani kama inawezekana, kwani ni kadi mbili tofauti kwa maana ya dola na tzs.

wewe huwa unaPeleka TZS bank na wanabadilisha/wanakuuzia USD? Kama wanakuuzia wao USD mara nyingi selling rate ni kiasi gani? Maana kwenye Conversion PayPal wanatubamiza sana i.e 1700TZS/$ Au huwa unatoka na USD kutoka Bureau de change?
 
Apana huwa inajichange automatic ata kama itakua euro sema wanakutumia inbox yako kiasi cha tshls walichokata wakati wa transction
 
Njunwa,

Kwa upande wangu huwa naweza peleka TZS ama USD, na kama nikipeleka madafu huwa wanatumia rate ya siku hiyo like wiki jana nilifanya deposit rate ilikuwa 1687.

Na katika uchunguzi wangu mdogo ni kuwa ukiweka USD huwa inachukua muda mfupi sana kwa iyo deposit to reflect into your card, wakati ukiweka madafu huwa kuna delaying fulani hivi.

Kwa kuwa kadi yangu ni ya dola, malipo yangu yote huwa yanakuja kwa dola tu hivyo ndivyo nilivyowaambia jamaa wa paypal, kwa kuhofia conversion differences ambazo huwa zinajitokeza kama unafanya manunuzi katika sarafu nyingine zaidi ya dola.

Nawakilisha.
 
I guess USD account ndo the best maana PayPal mara nyingi ni 1700Tzs/$ na juzi nimefanya Amazon ni 1776TZS/$

ki ukweli tunalizwa sana na haya madafu yetu ntalifanyia shughuli ili swala Vipi umewai jaribu kama PayPal yako inaweza pokea funds/payment?

(Maana hawa jamaa wa Banc AbC naona wako nchi kadhaa zilizo supported kupata malipo).
 
Hapana sijajaribu mkuu,maana nami nimeanza kutumia kadi yao haijafika hata miezi 3.kwa sasa nafanya malipo tu kwa vitu ninavyonunua ebay tu.
 
Pamoja sana @ Njunwa.

Kila kitu ni kujaribu tu, tutafika tu huko kwa kuweza kupokea hizo pesa la msingi kuweza tengeneza msingi wa trust na confidence katika paypal.
 
Wakuu nashindwa kujiregister paypal..wiki ya 3 sasa..nikiweka email..password na hizo code zao haiendi mbele tena zaidi ya kuanza upya...
tatizo laweza kuwa nini?
 
After so many years of struggling nimeweza kupata Refund yangu worthy of 800.000/=

8Lfhq3.png
 
Wana jamvi, hivi naweza kuagiza tv moja tu ya samsung toka nje ya nchi? Kama ndio wapi pa kuagiza na utaratibu ukoje?
 
Back
Top Bottom