Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Oya wana eeee. Nimeweza kuagiza mzigo kutoka China kwa kutumia Aliepress. Mzigo umefika km unavyoonrkana hapo
1598614098287.jpeg
 
hivyo vitu 7 ndio pcs/lot?...
Hili ndio jibu, vitu vinakuwa katika idadi fulani ndio wanaita lot moja

Maneno mengine ni kama
- Dazani moja [ dozen ]
- Katoni moja [ Carton ]

Ni idadi ya vitu kadhaa vimefungwa pamoja.
 
Mzigo wa namna hii unaupokea vipi pale posta?au ni njia gani inatumika kupokea mizigo mikubwa kutoka alia express
Screenshot_20200913-161905.jpg
 
NOmba kujua kama kuna mtu amesha wahi kulipia gharama zoZote ili kupokea mzigo wako posta. Mimi hupokea bure kabisa lakini kuna rafiki yangu yupo dodoma alienda kupokea mzigo pale wakamtoza tena hela.
 
Mimi nilishawahi kutozwa kamzigo kadogo ila nadhani matozo hayo yalikuwa kwa ajili ya tracking number mpya waliyoweka hapa tz maana hako kamzigo ilionekana Kama kalitangatanga mpaka wakakawekewa tena namba nyingine huku TZ.
 
Naomba kuuliza..........
Mfano nimeagiza simu, tv au redio au mzigo wowote kwa matumizi binafsi, kuna kodi yoyote nitakayotozwa na TRA mzigo ukishafika ili niweze kuupata??
c.c. Chief-Mkwawa
 
Kwa kuwa Uzi umeanzishwa 2013,wajuzi mnaweza kuwa mna update Mara kwa mara ili mtu asipate tabu,maana comments ni nyingi,
Halafu mleta mada au Moderator aweke kule juu;

Namna ya kufanya manunuzi hatua kwa hatua
Namna ya kuepuka utapeli
Chochote kipya katika manunuzi
Mabadiliko ya gharama mbalimbali za ununuzi ikiwemo kodi
Changamoto zozote zile.

Kwa mfano Vodacom na mitandao mingine wana mastercard,Je unaweza kununua kitu E-bay na kulipia bila shida?
 
wam mfano Vodacom na mitandao mingine wana mastercard,Je unaweza kununua kitu E-bay na kulipia bila shida?
Ndio waweza tumia kufanya manunuzi.
emoji736.png
Mabadiliko ya gharama mbalimbali za ununuzi ikiwemo kodi
Kuhusu kodi
> Kukatwa kodi kwa mizigo
>Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

[ Hapa utaona jinsi uonevu uliopo kwenye maswala haya ya kutoa mzigo baada ya kufikisha nchini ]

Kwa sasa hali ndio imekuwa mbaya zaidi

Mfano hai
- Item ya US 19 nimeingiza nchini hivi karibuni.
- Upande wa clearnce na kuupata mzigo nimelimwa email hii hapa.
1601555295578.png

- Gharama ya mzigo ni chini ya TZS 50,000
- Gharama za hapa nchini ni zaidi ya Laki moja, Pata picha.
Namna ya kufanya manunuzi hatua kwa hatua
Hili liko hapa: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)
Mfano nimeagiza simu, tv au redio au mzigo wowote kwa matumizi binafsi, kuna kodi yoyote nitakayotozwa na TRA mzigo ukishafika ili niweze kuupata??
Ndio, unapaswa kujiandaa kulipia kodi kwa bidhaa utakayoingiza nchini.
 
Ndio waweza tumia kufanya manunuzi.

Kuhusu kodi
> Kukatwa kodi kwa mizigo
>Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

[ Hapa utaona jinsi uonevu uliopo kwenye maswala haya ya kutoa mzigo baada ya kufikisha nchini ]

Kwa sasa hali ndio imekuwa mbaya zaidi

Mfano hai
- Item ya US 19 nimeingiza nchini hivi karibuni.
- Upande wa clearnce na kuupata mzigo nimelimwa email hii hapa.
View attachment 1586937
- Gharama ya mzigo ni chini ya TZS 50,000
- Gharama za hapa nchini ni zaidi ya Laki moja, Pata picha.

Hili liko hapa: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Ndio, unapaswa kujiandaa kulipia kodi kwa bidhaa utakayoingiza nchini.
Asante kwa majibu murua,ila gharama ya kodi kuzidi bidhaa hio ni balaa sana du! ngoja nipitie
 
Ndio waweza tumia kufanya manunuzi.

Kuhusu kodi
> Kukatwa kodi kwa mizigo
>Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

[ Hapa utaona jinsi uonevu uliopo kwenye maswala haya ya kutoa mzigo baada ya kufikisha nchini ]

Kwa sasa hali ndio imekuwa mbaya zaidi

Mfano hai
- Item ya US 19 nimeingiza nchini hivi karibuni.
- Upande wa clearnce na kuupata mzigo nimelimwa email hii hapa.
View attachment 1586937
- Gharama ya mzigo ni chini ya TZS 50,000
- Gharama za hapa nchini ni zaidi ya Laki moja, Pata picha.

Hili liko hapa: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Ndio, unapaswa kujiandaa kulipia kodi kwa bidhaa utakayoingiza nchini.
Unaposema MTU ajiande kulipia kodi mzigo wake ukifika sija kupata fresh

Ni kwa baadhi ya items au?

Maana nimeagiza simu na nimeipata trh 28/09/2020 yaani free kabisa bila tozo yoyote

Embu tolea ufafanuzi
 
Back
Top Bottom