Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,127
Points
1,225

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,127 1,225
Huo mzigo nikwamba haujafika Tz, yawezekana uko in transit katika nchi husika ( origin Country) au uko njiani kuja Tz
Kuna mzigo niliagiza since mwezi July mwaka huu, Kila nikiutrack nauona unapiga root tu huko China (in transit). Nilisubiria mpaka karibia buyer protection time ilipokuwa inakaribia kuisha nikafungua dispute
Aliexpress waliingilia kati wakaona ni kweli muda wa kupokea mzigo umeisha basi wakahitimisha kwa mimi kurudishiwa pesa yangu ( Ingawa sijaipata mpaka sasa sababu refund husubiriwa ñdani ya siku 7-20 za kazi )
Baada tu ya suluhisho nikaona mzigo umeanza kumove na hivi ninavyoandika mzigo umeshatumwa kuja tz kwa ndege
Yaani hapo ndo kuna tatizo.
Mimi kuna mizigo niliagiza tangu tarehe 4/5/2019 hadi sasa haijaingia, buyer protection time niliextend lakini hakuna kitu mpaka nikarudishiwa hela. Na mizigo mingine niliagiza tarehe 6/6/2019 naendelea kuExtend buyer protection. Baadaye nikaagiza mizigo mingine 30/7/2019 nayo bado ni hivyo, nikaagiza mingine 6/8/2019 mmojawapo wa seller alikuwa mgeni katika haya mambo yaani hana muda mrefu na hata reviews zake zilikuwa chache na mzigo uliingia ndani ya mwezi na siku tano. Hivyo kama unataka kuagiza mzigo usiwakwepe sellers wapya maana wanawahisha sana kutuma mizigo kwa maana shipping method niliyotumia baadhi ya hao wacheleweshaji siyo tofauti na ya huyo seller mpya. Inaonekana hawa jamaa wanatuwekeaga tracking za uongo au tunapigwa mizigo yetu inapoingia Tz. Nasema hivyo kwa sababu kuna siku nimepokea mzigo ambao haukuonyesha kama umeingia Tz, sasa mzigo kama huo wakiupiga utajuaje kama uliingia Tz?

Au wataalamu mnasemaje.
 
JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
1,816
Points
2,000

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
1,816 2,000

Ni kweli mkuu, nahisi hizi tracking number sometime sio za kweli. Kuna nimeagiza kutoka China kupitia Singapore, baada ya siku kama 8 mzigo nilion aumeshaondoka kutoka Singapore kuja Tz, kikawaida huwa napokea mzigo ndani ya siku 16 mpaka 20 baada yakutumwa kutoka Singapore. Lakini mpaka ninavyoandika hapa kuna mizigo niliagiza nyuma ya hii iliyotanglia nimeshaipokea lakini hii iliyotangulia mpaka sasa bado haijafika Tz kutokea Singapore
Najiuliza inamaana kutoka Singapore ndege inaweza tumia karibia siku 15. Hapa kuna namna sio bure
 
Nimeshakatishwa tamaa sana na hii hali. Mwanzoni nilivyoanza haya manunuzi nilifurahia sana lakini sasa sina imani tena.
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,127
Points
1,225

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,127 1,225
Mi niliagiza toka tarehe 7/7 mpaka mwezi wa 9 bidhaa ilikuwa haijafika nikaomba anirudishie hela yangu.
Amerudisha tena faster tu
Jana nimepokea mizigo kibao kutoka kwa sellers tofauti ukiwemo wa mwezi wa 6 mwanzoni uliosafirishwa na Yanwen Economic Air Mail, ila Yanwen iko slow sana na upotevu ni juu juu. Kidogo matumaini yanaanza kurudi.
 
grizzman

Member
Joined
Mar 24, 2015
Messages
44
Points
95

grizzman

Member
Joined Mar 24, 2015
44 95
Mambo vp mkuu .mi sio mzoefu sana na mambo haya ila nineagiza mzigo kupitia ali exprs na nimeutrack inaonesha unefika tz juzi tar 4 nauliza mzigo naufata au nisubiri wanipigie cm
Jana nimepokea mizigo kibao kutoka kwa sellers tofauti ukiwemo wa mwezi wa 6 mwanzoni uliosafirishwa na Yanwen Economic Air Mail, ila Yanwen iko slow sana na upotevu ni juu juu. Kidogo matumaini yanaanza kurudi.
 
Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
559
Points
250

Realbest

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2013
559 250
Kuna APPLICATION inaitwa track 24 ni nzuri sana kwa kufuatilia mzigo wako ulipo.
Habari wadau niliagiza kamzigo kadogo kupitia allxpress carrier niliyemtumia anaitwa china post ordnary small plus

Toka tarehe 25 mpaka Leo haujafika mbeya
Je Inawezekana mzigo ifike dar
na uchukue wiki mbili haujafika mbeya?
 
Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
4,124
Points
2,000

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
4,124 2,000
Habari wadau niliagiza kamzigo kadogo kupitia allxpress carrier niliyemtumia anaitwa china post ordnary small plus

Toka tarehe 25 mpaka Leo haujafika mbeya
Je Inawezekana mzigo ifike dar
na uchukue wiki mbili haujafika mbeya?
Nenda local post kuu ya uliko wafanye mawasiliano ili utatuzi upate!
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,127
Points
1,225

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,127 1,225
Mambo vp mkuu .mi sio mzoefu sana na mambo haya ila nineagiza mzigo kupitia ali exprs na nimeutrack inaonesha unefika tz juzi tar 4 nauliza mzigo naufata au nisubiri wanipigie cm
Ukiona wanachelewa kukupigia simu au meseji basi jipeleke mwenyewe kule posta yenye S.L.P. uliotumia.
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,127
Points
1,225

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,127 1,225
Habari wadau niliagiza kamzigo kadogo kupitia allxpress carrier niliyemtumia anaitwa china post ordnary small plus

Toka tarehe 25 mpaka Leo haujafika mbeya
Je Inawezekana mzigo ifike dar
na uchukue wiki mbili haujafika mbeya?
Tarehe 25 ya mwezi gani mkuu. Huyo carrier uliyetumia na mimi mara nyingi huwa namtumia sana na kazi yake ni ya uhakika hata kama mzigo ukichelewa utafika. (China Post Ordinary Small Packet Plus)

The average delivery time varies from 20 to 60 days. Sometimes the time for shipment can take from 15 to 90 days. Most of the parcels sent by China Post Small Packet Plus mail reach the addressee.
 
k2206

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
210
Points
250

k2206

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2018
210 250
Habari wadau niliagiza kamzigo kadogo kupitia allxpress carrier niliyemtumia anaitwa china post ordnary small plus

Toka tarehe 25 mpaka Leo haujafika mbeya
Je Inawezekana mzigo ifike dar
na uchukue wiki mbili haujafika mbeya?
Inawezekana kabisa. Ila mzigo utakufikia tu mbeya usiwe na wasiwasi. Imenitokea hiyo mara nyingi sana. Ukiona ule mda wa kupokea mzigo umefika alafu haujaupokea mtumie seller message aextend delivery period.
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,127
Points
1,225

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,127 1,225
Account yangu ya mpesa mastercard ime expire na nilikuwa nimeshaomba refund kuna seller hakunitumia mzigo,je atanirudishiaje hela yangu?
Hicho kitu kilinikuta mwezi wa tisa mwishoni, maana hata mimi M-Pesa Mastercard yangu iliexpire mwezi huo na nilikuwa nimeopen dispute nayo ikawa imekwisha na iko kwenye process za refund nikaenda ile sehemu ya kuendeleza card lakini kilichotokea nilipata namba nyingine tofauti na ile niliyokuwa natumia, nikaamua kudelete hizo card nikatengeneza nyingine. Ila pesa zilirudishwa kwenye Mpesa account.

Hicho kipengele inabidi Vodacom wakifanyie marekebisho maana huwezi ukaendeleza card halafu ikaja namba nyingine tofauti na ya card ya awali ambayo ulitaka iendelezwe.
1571054011044.jpeg
1571054300399.jpeg
1571054415408.jpeg
 
Attachments:

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
2,809
Points
2,000

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
2,809 2,000
Hicho kitu kilinikuta mwezi wa tisa mwishoni, maana hata mimi M-Pesa Mastercard yangu iliexpire mwezi huo na nilikuwa nimeopen dispute nayo ikawa imekwisha na iko kwenye process za refund nikaenda ile sehemu ya kuendeleza card lakini kilichotokea nilipata namba nyingine tofauti na ile niliyokuwa natumia, nikaamua kudelete hizo card nikatengeneza nyingine. Ila pesa zilirudishwa kwenye Mpesa account.

Hicho kipengele inabidi Vodacom wakifanyie marekebisho maana huwezi ukaendeleza card halafu ikaja namba nyingine tofauti na ya card ya awali ambayo ulitaka iendelezwe.View attachment 1233041View attachment 1233042View attachment 1233043
Seller alikurudishia pesa zako?
 
euca

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Messages
1,743
Points
2,000

euca

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2015
1,743 2,000
Hv wadau kuna kitu niliagiza mwanzoni mwa mwezi wa 8 bt muda wa kufika tz ilikuwa ni mwezi wa 9.Sasa baada ya huo muda kuisha hali ya kuwa mzigo bdo nikaona wameongeza wiki moja na baada ya hyo wiki kuisha nikibofya kwenye Ile order kuna hilo neno FUND PROCESSING.Sasa Hapo huwa wana maana gani ?maana kwa sasa siwezi kuutrack na umewekwa kwenye kingepele cha TO BE REVIEWED
Capture%2B_2019-10-16-09-18-55.jpeg
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,127
Points
1,225

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,127 1,225
Hv wadau kuna kitu niliagiza mwanzoni mwa mwezi wa 8 bt muda wa kufika tz ilikuwa ni mwezi wa 9.Sasa baada ya huo muda kuisha hali ya kuwa mzigo bdo nikaona wameongeza wiki moja na baada ya hyo wiki kuisha nikibofya kwenye Ile order kuna hilo neno FUND PROCESSING.Sasa Hapo huwa wana maana gani ?maana kwa sasa siwezi kuutrack na umewekwa kwenye kingepele cha TO BE REVIEWEDView attachment 1234762
Ina maana uliopen dispute au seller ameamua kurudisha hela yako hivyo hela iko kwenye mchakato wa kurudishwa.
 
Forum statistics

Threads 1,352,794
Members 518,197
Posts 33,067,168
Top