Jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Third Eye, Jul 8, 2012.

 1. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 331
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Hello guys, kuna friends walinigusia hili, nimeandika kidogo today kuhusu how to download using Bittorrent, so lets get the party started, what is torrent? Torrent ni file lolote linalokuwa sent kupitia BitTorrent protocol.

  Linaweza kuwa movie, music, video, program, vitabu etc. Wakati linatoka sehemu moja kwenda nyingine, linakuwa halijakamilika hivyo linakuwa refered as torrent. Kama halijakamilika haliwezi kufunguliwa kwa kuwa halina data zote muhimu.

  Torrents zipo tofauti na downloads nyingine, kwa kawaida unapodownload kitu unakidownload kutoka server moja, ila kwa torrrents, unadownload kutoka server nyingi nyingi, na kwa kuwa kwa kawaida ISP (Internet Service Provider)

  wanatoa download speed kubwa kuliko upload speed, hivyo kuziunganisha server nyingi kuongeza kasi ya kudownload na kupunguza Bandwidth kwa server zinazoruhusu downloads.

  Ok now acha tutazame BitTorrent ni nini na inafanyaje kazi, Bittorrent ni p2p protocol iliyokuwa designed kupunguza bandwidth required to transer files. Kwa mfano, unataka kudownload movie, BitTorrent system inalocate computer nyingine duniani ambazo zina file lilelile (na BitTorrent protocol ofcourse) na kuanza kudownload hiyo movie kutoka computer mbalimbali.

  Ili utumie hii Bittorrent protocol, unahitaji Bit torrent client, nii ni BitTorrent progam ambazo ni kama zifuatazo

  Kwa Windows BitTorrent, uTorrent, Xtorrent, Vuze, RitRocket, Transmission,
  Kwa Linux ni, Vuze, Ktorrent, Deluge, na Transmission.

  Important terms.

  Torrent ni file ambalo halijakamilika na pia ni file dogo, linalotumika kuidentify content unazozitaka.

  BitTorrent client : ni progr am unayotumia kudownload kwa torrent

  Bit torrent Index : ni Websit es zinazotoa torrent files,(vile vidogo vitakavyotumika kustart downloads.

  Seeds : ni watu waliomaliza kudownload file na wanakuacha na wewe udownload kutoka kwao.
  Leech : NI watu wanaodownload file kama wewe.

  Getting started

  Baada ya kujua hiyo intro, then what to do.

  Kwanza download uTorrent hapa, au BitTorrent hapa (Na recommend uTorrent, ni ndogo ina kama kb 864 hivi)
  Install program uliyodownload.

  Search chochote unachotaka ongezea na neno torrent kwa mbele,

  Download htorrent file dogo, kwenye download window kuna open au save file, choose open file ili lifungukie uTorrent moja kwa moja, liache lidownlload, likimaliza liache useed kidogo, halitumii speed kubwa wala halitakulia MB zako nyingi (its goog to give back kidogo ulichopewa wewe)

  Enjoy!

  Guys samahani nimeshidwa kuandika sana nipo kwenye pepa, so in few days ntaandika tutorial ndefu yenye kila kitu including, Torrent tracker, safety when downloading torrents, anonymity, legal actions na nyingine nyingi, just tuvumiliane kidogo.
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  thank you so far it is a good explanation.
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Asante
   
 4. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  shukrani kwa ufafanuzi mkuu
   
 5. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Chengachenga zungusha antenna funga busta, au weka king'amuzi olah!
   
 6. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Mkuu kwahiyo seeding inakula MB?
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu Third Eye Kama nilivyo ahidi mkuu nimekumwagia like. thanks kwa maelezo mazuri sana ila kuna baadhi ya sehemu bado niko porini.
  1) Kuna Utorrent ya kulipia na bure je, tofauti ni ipi??
  2)nilazima kuseed au sio lazima??
  Nihato tu kwa leo.
  Thank again
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 331
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  yeah but ni kidogo sana, na uzuri sio lazima useed muda mrefu, kiogo kidogo kusaidia na wengine wapate pia ulichodownload wewe,
   
 9. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 331
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  1. extra features for paid version is
  • Protect your computer with integrated antivirus
  • Get the codecs you need to enjoy HD video
  • Easily move files to your favorite devices

  2.kuseed sio lazima, ila ni vizuri because kama hakuna wanaoseed, itakuwa tabu kupata vitu vipya, so kama unaweza its good, kama huwezi its fine pia
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu Third eye natanguliza shukrani zangu kwako kwa somo hili zuri na muhimu kabisa'mimi binafsi naishi kwa kidowload na kuuza software mbalimbali via bitorrent'pc yangu haizimwi manake nina download karibu 200 kwa mwezi'dowload speed yangu ni 512mbp'inachukuwa muda mrefu kudowload kitu cha 1gb'kuna wakati inachukuwa week nzima'je kuna njia ya kudowload fast the same speed?halafu kitu kinachonisumbua sana nikishamaliza download kuna kipindi lile foulder linabakia empty'hiyo inasababishwa na nini na nani ana delete ile program'je nifanyeje hapo?
   
 11. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mia mia mwana!
   
 12. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  3rd Eye. big up, All the best in your exam. Hope to see you back soon.
   
 13. +255

  +255 JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Ukiacha hiyo kwa kutumia computer, vp kuhusu wanaotumia sim? Kuna application inaitwa symtorrent nimei install kwenye simu yangu, ila tatizo kila ikitaka kudownload inaniambia bad file format! Je ni format gani ambazo zinatakiwa kuwa downloaded kupitia sim?
   
 14. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Thanx Buddy,its been of much boost to me,nakutakia mitihani myema na u pasue fresh, i' ll be waiting for the full lecture ya hii kitu,all the best Kaka
   
 15. Khalifab

  Khalifab Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole na exam brther...nashkuru kwa kutufumbua na kutupatia vitu vizur tena free of charge..kuna shida moja nahis sijaelewa,,ni kwamba tayar nimeshapata set up ya U TORRENT na BIT TORRENT na tayar inakuwa imekwishafunguka moja kati ya hizi program............. TATIZO LANGU SASA ..........................................

  mfano nahitaji ku download brother,nashindwa kuweka kile kitu ambacho nakihititaji,,,,,,,, mfano muvie na vitu vingine

  pia sielewi maana ya LINK na Jinsi ya ku copy LINK na kudownload ili kitoke kitu like muvie plz plz NISAIDIE THIRD EYE........ khalifab@rocketmail.com
   
 16. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  na mimi nasema hongera kwa Ufafanuzi mzuri.
   
 17. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera kaka
   
 18. J

  Josmiwa Member

  #18
  Oct 20, 2014
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Good lecture,,,helpful thanks!!
   
 19. jbjb

  jbjb Member

  #19
  Feb 28, 2016
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 72
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  K
   
Loading...