Jifunze Graphics Design leo

M

Msema yote

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
451
Likes
133
Points
60
M

Msema yote

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
451 133 60
Nikushauri tu kuwa fanya mazoezi mengi ya ubunifu hasa mpangilio wa rangi, kikubwa nikupe hongera kwa kuona fursa ila rangi na ubunifu bado ni kikwazo kwako, komalia hilo kwanza, ukishindwa waweza nicheki nkakupa mwongozo wa namna ya kutumia rangi vyema rangi na ubunifu wa kazi mbali mbali, kama brochure, logo, sticker, poster, magazine
 
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
2,830
Likes
2,318
Points
280
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
2,830 2,318 280
Nikushauri tu kuwa fanya mazoezi mengi ya ubunifu hasa mpangilio wa rangi, kikubwa nikupe hongera kwa kuona fursa ila rangi na ubunifu bado ni kikwazo kwako, komalia hilo kwanza, ukishindwa waweza nicheki nkakupa mwongozo wa namna ya kutumia rangi vyema rangi na ubunifu wa kazi mbali mbali, kama brochure, logo, sticker, poster, magazine
hii inaitwa mbwa kala mbwa; yy anatafuta watu wa kuwafundisha hyo graphics design, ww unataka ukamfundishe yeye tena!!
 
M

Msema yote

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
451
Likes
133
Points
60
M

Msema yote

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
451 133 60
hii inaitwa mbwa kala mbwa; yy anatafuta watu wa kuwafundisha hyo graphics design, ww unataka ukamfundishe yeye tena!!
Kuna msemo mmoja unasema "DONT GO FOR MONEY, GO FOR EXPERIENCE" siku zote pesa ipo tu muhimu kwanza ni uwezo, mtoa mada amekuwa mbunifu wa wazo kwakweli lakini katika kazi zake anapungukiwa vitu kadhaa, na mimi niko tayari kumuasist bure kabisa kwa maana tayari anajua ila anapungukiwa baadhi tu
 
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2016
Messages
229
Likes
130
Points
60
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined May 11, 2016
229 130 60
Nikushauri tu kuwa fanya mazoezi mengi ya ubunifu hasa mpangilio wa rangi, kikubwa nikupe hongera kwa kuona fursa ila rangi na ubunifu bado ni kikwazo kwako, komalia hilo kwanza, ukishindwa waweza nicheki nkakupa mwongozo wa namna ya kutumia rangi vyema rangi na ubunifu wa kazi mbali mbali, kama brochure, logo, sticker, poster, magazine
Huko perfect mkuu
 
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2016
Messages
229
Likes
130
Points
60
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined May 11, 2016
229 130 60
hii inaitwa mbwa kala mbwa; yy anatafuta watu wa kuwafundisha hyo graphics design, ww unataka ukamfundishe yeye tena!!
Hkuna anaejua vyote dunian isipokuwa mungu tu, inawezekan yuko sahihi ahsante sana
 
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Messages
3,537
Likes
2,068
Points
280
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2008
3,537 2,068 280
MIMI NAHITAJI DARASA HILO....NAOMBA UJE PM TUJADILI BEI.
 
kabon14

kabon14

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
1,148
Likes
734
Points
280
kabon14

kabon14

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2016
1,148 734 280
Kuna msemo mmoja unasema "DONT GO FOR MONEY, GO FOR EXPERIENCE" siku zote pesa ipo tu muhimu kwanza ni uwezo, mtoa mada amekuwa mbunifu wa wazo kwakweli lakini katika kazi zake anapungukiwa vitu kadhaa, na mimi niko tayari kumuasist bure kabisa kwa maana tayari anajua ila anapungukiwa baadhi tu
Ungem PM mkuu,sa hapa unamharbia
 
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2016
Messages
229
Likes
130
Points
60
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined May 11, 2016
229 130 60
Mkuu lengo langu halikuwa kumharbia bali kumwelekeza, samahani sana kama nimewakwaza
Msijali wadau mimi ndio mwenye Post hiyo na naamina nafahamu graphics ndio maana nikaaamua kupost humu na pia ndio kazi yangu ninayofanya kwa sasa but pamoja na yote C maana kwamba najua vyote"AHSANTENI KWA MUDA WENU"
 
Forum statistics

Threads 1,235,776
Members 474,742
Posts 29,235,109