Jifunze aina za urembo wa Tattoo kabla haujachora

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Biomechanical Tattoos

Aina hii ya tattoo inaonekana bora sana wakati imechorwa kwenye sehemu za misuli za mwili. Na wakati kubuni tattoo hii, fikiria kuichora kwenye miguu, mikono , au hata shingoni lakini hakikisha unapata mchoraji mzuri na mwenye mashine sahihi.

Mfano katika picha

xx.jpg


Script or Text Tattoos
Jambo bora juu ya aina hii ni inaweza kuwa na maana sana, kutoa tamko , kueleza hisia yako hasa. Pia tattoo za namna hii uchorwa sehemu yoyote ya mwili wa mwanadamu na hupendeza na kuvutia. Kwasababu lengo ni kufikisha ujumbe basi hata usoni hufaa pia, Your Child's Name, Song Lyrics, Your Partner's Name (although not recommended but do whatever you want!), Birth Dates, Passages from the Bible, Your Last Name, Famous Quotes or Phrases, Words from a Favorite Book. Nakadhalika

Mfano katika picha
8770998_f520.jpg


8770999_f520.jpg


Asian Style Tattoos
Asia Tattoos picha yake lazima iwe kubwa na tajiri sana kwa upande wa maana pia tattoo za aina hii hukuza utamaduni, historia, na kugusia hisia za mtu kwa namna ya pekee . Tattoos aina hii huanzia sanaa shingoni na kuendelea mpaka miguuni ili kukamilisha maana .

Mfano katika picha

8770936_f520.jpg
8770934_f520.jpg
8770931_f520.jpg


Traditional / Old School Tattoos
Tattoos za style hii huesabika kuwa ni za Magharibi au classic Americana style , pia zinajulikana kwa dondoo za kuwa na sifa ya kubeba ujasiri na uchorwa kwa rangi imara. Kama zikichorwa kwa usahihi , na kutunzwa vyema mtindo huu hudumu kwa muda mrefu. Na mtindo huu ndio maarufu sana hapa kwetu Tz na Africa

Mfano katika picha

8770778_f520.jpg
8770779_f520.jpg
8770780_f520.jpg


Wakuu nimechukua aina hizi chache kwasababu ndio hubeba aina nyinginezo nakaribisha maoni na kujazia zaidi.

Angalizo:
Kwa wale wakristo The Bible mentions tattoos just once, at Leviticus 19:28, someni kabla hamjachora

Kwa waislam recorded by Bukhari: "It was narrated that Abu Juhayfah cursed the one who does tattoos, and the one who has a tattoo done.”

Ahsante!
 
Nimeipenda hiyo Biomechanical tatoo ila huyo mwanamke kwenye hiyo asian style alichorwa na nani maana kibwenye wazi wazi...
 
Back
Top Bottom