Jidanganyeni mlivyomuokota leo Toto Africans Mwanza kwa Kuwahonga muwafunge Goli nyingi ndiyo itakuwa kwa Zesco United Jumamosi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,563
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani Wanachama na Mashabiki wao ili wajae Uwanjani kwa Mkapa Jumamosi wapige Hela na pia kama vile kuwatishia Zesco United kuwa Yanga SC wako vizuri wakati ukweli ni kwamba Yanga SC Kiufundi bado haiko vizuri kabisa.

Mwanasimba yoyote popote pale ulipo nunua Jezi yako ya Zesco United mapema na Jumamosi tukutane kwa Mkapa Kuishangalia Zesco United. Simba SC kuwashangilia Yanga SC / Kuishangilia Yanga SC ni sawa sawa na Kujinajisi Sisi wenyewe.

Kwa mwana Yanga SC mwenye Akili na anayejua Mpira wala hawezi Kushangilia Ushindi wa ' Kuachiwa ' wa leo dhidi ya Toto Africans kwani tunajua ya kwamba ni Ushindi wa Kimkakati zaidi ( Kibiashara ) ili Kuwahadaa wana Yanga SC ambao kwa bahati mbaya wengi wao ni wale wale wa ' Akili za Kipa Katoka ' tupu ili waiamini Timu yao na Jumamosi Wajazane Uwanjani kwa Mkapa Timu ipate Kipato Kikubwa wakati tulioitizama kwa Jicho la Kiufundi Yanga SC bado haijakamilka hasa hasa katika Idara yake ya Kiungo Ushambuliaji, Namba Tisa na Kumi na hata Beki wa Kushoto na kwa jinsi ninavyowajua Wazambia hasa hawa Zesco United watapita huko huko ambapo Yule Mshambuliaji wao Hatari aitwae Kapumbu basi Jumamosi ' atawapumbua ' kweli Watu pale Taifa na tutatafutana kama si kuanza pia Kuchapana Bakora.

Naiombea Laana mbaya sana Toto Africans na Mwanza Timu bora ni Mbao FC peke yake na labda Kidogo hao sijui Alliance FC.
 
Wameshinda ngapi kwani?
Habari yako ni incomplete
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani Wanachama na Mashabiki wao ili wajae Uwanjani kwa Mkapa Jumamosi wapige Hela na pia kama vile kuwatishia Zesco United kuwa Yanga SC wako vizuri wakati ukweli ni kwamba Yanga SC Kiufundi bado haiko vizuri kabisa.

Mwanasimba yoyote popote pale ulipo nunua Jezi yako ya Zesco United mapema na Jumamosi tukutane kwa Mkapa Kuishangalia Zesco United.
 
DONGE
 
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani Wanachama na Mashabiki wao ili wajae Uwanjani kwa Mkapa Jumamosi wapige Hela na pia kama vile kuwatishia Zesco United kuwa Yanga SC wako vizuri wakati ukweli ni kwamba Yanga SC Kiufundi bado haiko vizuri kabisa.

Mwanasimba yoyote popote pale ulipo nunua Jezi yako ya Zesco United mapema na Jumamosi tukutane kwa Mkapa Kuishangalia Zesco United. Simba SC kuwashangilia Yanga SC / Kuishangilia Yanga SC ni sawa sawa na Kujinajisi Sisi wenyewe.

Kwa mwana Yanga SC mwenye Akili na anayejua Mpira wala hawezi Kushangilia Ushindi wa ' Kuachiwa ' wa leo dhidi ya Toto Africans kwani tunajua ya kwamba ni Ushindi wa Kimkakati zaidi ( Kibiashara ) ili Kuwahadaa wana Yanga SC ambao kwa bahati mbaya wengi wao ni wale wale wa ' Akili za Kipa Katoka ' tupu ili waiamini Timu yao na Jumamosi Wajazane Uwanjani kwa Mkapa Timu ipate Kipato Kikubwa wakati tulioitizama kwa Jicho la Kiufundi Yanga SC bado haijakamilka hasa hasa katika Idara yake ya Kiungo Ushambuliaji, Namba Tisa na Kumi na hata Beki wa Kushoto na kwa jinsi ninavyowajua Wazambia hasa hawa Zesco United watapita huko huko ambapo Yule Mshambuliaji wao Hatari aitwae Kapumbu basi Jumamosi ' atawapumbua ' kweli Watu pale Taifa na tutatafutana kama si kuanza pia Kuchapana Bakora.

Naiombea Laana mbaya sana Toto Africans na Mwanza Timu bora ni Mbao FC peke yake na labda Kidogo hao sijui Alliance FC.
Mikia a.k.a mbumbumbu.

Yanga akifungwa ni mbovu. Akishinda, kahonga marefa.

UD Songo hachomoi kwa Toto!
 
Mbona hujawaambia hao wenzako kwamba Mo ameshasuka mipango mkifanikiwa kuishajiisha Zesco hadi ikaiondoa Yanga, nafasi ya Kombe la Shirikisho watapewa Simba?
 
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani Wanachama na Mashabiki wao ili wajae Uwanjani kwa Mkapa Jumamosi wapige Hela na pia kama vile kuwatishia Zesco United kuwa Yanga SC wako vizuri wakati ukweli ni kwamba Yanga SC Kiufundi bado haiko vizuri kabisa.

Mwanasimba yoyote popote pale ulipo nunua Jezi yako ya Zesco United mapema na Jumamosi tukutane kwa Mkapa Kuishangalia Zesco United. Simba SC kuwashangilia Yanga SC / Kuishangilia Yanga SC ni sawa sawa na Kujinajisi Sisi wenyewe.

Kwa mwana Yanga SC mwenye Akili na anayejua Mpira wala hawezi Kushangilia Ushindi wa ' Kuachiwa ' wa leo dhidi ya Toto Africans kwani tunajua ya kwamba ni Ushindi wa Kimkakati zaidi ( Kibiashara ) ili Kuwahadaa wana Yanga SC ambao kwa bahati mbaya wengi wao ni wale wale wa ' Akili za Kipa Katoka ' tupu ili waiamini Timu yao na Jumamosi Wajazane Uwanjani kwa Mkapa Timu ipate Kipato Kikubwa wakati tulioitizama kwa Jicho la Kiufundi Yanga SC bado haijakamilka hasa hasa katika Idara yake ya Kiungo Ushambuliaji, Namba Tisa na Kumi na hata Beki wa Kushoto na kwa jinsi ninavyowajua Wazambia hasa hawa Zesco United watapita huko huko ambapo Yule Mshambuliaji wao Hatari aitwae Kapumbu basi Jumamosi ' atawapumbua ' kweli Watu pale Taifa na tutatafutana kama si kuanza pia Kuchapana Bakora.

Naiombea Laana mbaya sana Toto Africans na Mwanza Timu bora ni Mbao FC peke yake na labda Kidogo hao sijui Alliance FC.
Inasikitisha kuona hauna like hata moja hadi sasa.
 
Yanga hana tabia ya kununua timu
Tabia hiyo ipo simba ni kawaida yao na nitabia ya kihindi
Kwakuwa ni tabia hiyo anafikiria na yanga anayo
 
Mbumbumbu una shida, kwaiyo uko kwenu timu ikishinda medhi ya kirafiki wana Kenua meno na kushangilia kwa mbwembwe?
 
Pale ni "KWA MCHINA"
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom