safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,839
Kabisa mkuu sasa hivi nina mkakati wa kutaka kuwasomesha watoto wangu ama kuwasimulia visa ambavyo vitawafanya wawe na jwezo wa kusikilizaBasi Natumaini ulikua na Dyslexia na ADHD maana asilimia kubwa ya watu wenye dyslexia hua na tatizo hili la ADHD. Maybe ulikua na Dyslexia ila ukaweza kui-overcome kutokana na mazingira uliyopo na Experience.
Kuhusu Autodidact soma hapa..
Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition
Mates, Wakati wengi tukiwa tunajua kwaba ubongo wa mwanadamu umegawanyika sehemu tatu ambazo ni ubongo wa mbele,katikati na nyuma tu, kuna wataalamu wa masuala ya akili (Neuorologist) na wataalamu wa masuala ya ufanyaji kazi wa akili (psychologist) wamekua wakiamini/waki-Ague kwamba ubongo wa...www.jamiiforums.com
Nami ni msikilizaji mzuri mtu akiwa anaongea mambo ya kuelimisha hasa kwenye nyumba za ibada. Sometimes hizi childhood trauma ndio hutupelekea kupata shida mbalimbali so inawezekana wewe yako uliweza kuitatua bila kujua