Jicho ndani ya ukumbi wa Bunge: Msuko wa Spika anaonekana mwaaaaa!

Wadau nimevutiwa na madam Spika leo kapendeza alivyosuka nywele,Pengine atapunguza hata unoko hadi nywele zifumuke.Congrats madam you look good.

We ngoja Salim Ahmed Salim akusikie kama hajakurushia kitu kizito...............unasifia mali ya watu wamegharabia babuu....
 
Dah!
Kweli watu tumetofautiana kuangalia mambo!!
Yaani katika bunge la leo mtoa mada kaona issue kubwa ni msuko wa speaker??
Wonders shall never end!!

Kamwela a certain old person once told me:

" People usually complain about their looks, but no one complains about their brains"

Your observation proves him right
 
Huna Lolote hata asuke vipi na kujiremba vipi hawazi kuonekana, tatizo lake ni sura mbaya kam moyo wake?
muulize waume wake wako wapi hii leo? ndio utajua Roho yake ilivyo...

Mtoa mada utakuwa na ugovi na mkeo/mmeo so kila mtu unamuona sex!

Mkuu kuwa na mwanaume/mke siyo nywele zile kwamba kila mtu anakuwa nazo.
 
peleka kwenye celebrities haituhusu sisi
nivea hili jukwaa kama linakukera usiwe unalifungua unless unatukwaza mkuu!kama jukwaa hili linawachefua na msiwe mnapita !huwa mnafuata nini kila siku huku mnaliponda!hebu tupisheni tujiongezee siku za kuishi siye !nendeni kwenye siasa zenu huko mkajistress na matatizo ya jakamoyo!
MTUACHE MIAKA MIA 8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom