Jicho langu kwa Elias John Kwandikwa

Wanoko wa JF washafukua kaburi!!! Duh! Kumbe ulinzi aliwekwa na dhalimu mwendazake? Mimi nilidhani wa KUDEMKA kumbe wa kudemka alihofia kumgusa akamuacha hapo hapo. Je, wa kudemka na vichokochoko ataibuka na Mzenj? Je, atatumia nafasi hii kufanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri ikiwa ni pamoja na kumuondoa mhuni Mwigulu Nchemba pale Fedha? Tutege masikio.
Ulinzi atawekwa mzenji
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kwa sasa ni Waziri wa Ulinzi na Usalama.

Elias ni Mwanasiasa asiye eleweka baina ya wanasiasa na wasio wanasiasa-hatabiriki!

Kwa sifa pekee ya upole aliyopewa na ndugu Rais John Pombe Magufuli si tu haitoshi bali pia inafikirisha sana."Kwa sababu ya upole wako tumeona tukupeleke Wizara ya Ulinzi" Magufuli alimweleza Kwandika wakati akimwapisha.

Huyu Elias John Kwandika ni nani hasa?

Kwanini na kwa uchanga wake katika siasa ameweza kuaminiwa haraka awe Waziri wa Wizara nyeti ya Ulinzi ikizingatiwa hakuwapata japo kuwa Waziri kamili kabla?

Kwa jicho la utabiri Elias ni zaidi ya tumfikiriavyo.Mimi kwa mfano ni imani yangu huyo ndugu anaandaliwa awe mtu fulani kwa faida ya mtu fulani.

Muda utasema.
Elias Kwandikwa ameenda zake. Apumzike kwa amani
 
Kamfuata Jiwe wakaunde chama cha wasukuma
 
Wanoko wa JF washafukua kaburi!!! Duh! Kumbe ulinzi aliwekwa na dhalimu mwendazake? Mimi nilidhani wa KUDEMKA kumbe wa kudemka alihofia kumgusa akamuacha hapo hapo. Je, wa kudemka na vichokochoko ataibuka na Mzenj? Je, atatumia nafasi hii kufanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri ikiwa ni pamoja na kumuondoa mhuni Mwigulu Nchemba pale Fedha? Tutege masikio.
Miss Utalii atampa mzenji , mtu wa "kwake" haswa haswa. Nani? Bara kuna nani? wa kwake, mwandani wake ambaye atamtii ? Mwigulu anafua hata chu.. zake Miss Utalii, huyo hawezi kumtoa hapo, jamaa linavyojua kujikomba at the detriment of others!
 
Back
Top Bottom