Jicho la tatu: Utenguzi huu ni mkakati wa kuua ndege wawili kwa jiwe moja

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Habari wakuu,

Kwa mtazamo wangu,bwana yule katengua nafasi ya kijana yule akisukumwa na mambo mawili ambayo ni kwanza katika kutekeleza mpango wa kuwaondoa wanaoonekana ni wasaliti ambao kwa sasa ni kama misfit ndani ya nyumba yao na sababu ya pili na ambayo imeharakisha utekelezaji wa maamuzi haya ni kutumia tukio hili la utenguzi kwa lengo la kuhamisha attention ya watu(mjadala) kuhusu yale makubaliano ya kimangungu kati ya sisi na wale wanaume(wazungu).

Kwahiyo, bwana yule amejaribu kuua ndege wawili kwa jiwe moja ila ajue tu yale makubaliano ya kimangungu hayawezi kupita hivi hivi na mjadala wake utaendelea tu na huu wa utenguzi baada ya siku mbili zijazo utakuwa umepoa kama sio kwisha kabisa.

Kwa kifupi, Mzee huyu kakosa maarifa na hajui ashike lipi na aache lipi!!
 
Habari wakuu,

Kwa mtazamo wangu,bwana yule katengua nafasi ya kijana yule akisukumwa na mambo mawili ambayo ni kwanza katika kutekeleza mpango wa kuwaondoa wanaoonekana ni wasaliti ambao kwa sasa ni kama misfit ndani ya nyumba yao na sababu ya pili na ambayo imeharakisha utekelezaji wa maamuzi haya ni kutumia tukio hili la utenguzi kwa lengo la kuhamisha attention ya watu(mjadala) kuhusu yale makubaliano ya kimangungu kati ya sisi na wale wanaume(wazungu).

Kwahiyo, bwana yule amejaribu kuua ndege wawili kwa jiwe moja ila ajue tu yale makubaliano ya kimangungu hayawezi kupita hivi hivi na mjadala wake utaendelea tu na huu wa utenguzi baada ya siku mbili zijazo utakuwa umepoa kama sio kwisha kabisa.

Kwa kifupi Mzee huyu kakosa maarifa na hajui ashike lipi na aache lipi!!
Chadema imekuwa na vijana mbumbumbu sana, ndio maanda wamegeuka wacheza zumari la Zitto.
 
Jaribu kuhisi uonavyo, lakini hakika Huyo jamaa hivi sasa sijui kama hata huo usingizi atakuwa anaupata.......

Kugombana na makatibu wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuendelea kumbeba yule "kivuruge" anayekashifu watu, huku akiwa "untouchable" ni jambo linalofikirisha sana ubongo

Hili sekeseke linalokikabili chama chake,si tatizo doogo kadri unavyoweza kufikiria
 
Mfa maji Mkuu

Habari wakuu,

Kwa mtazamo wangu,bwana yule katengua nafasi ya kijana yule akisukumwa na mambo mawili ambayo ni kwanza katika kutekeleza mpango wa kuwaondoa wanaoonekana ni wasaliti ambao kwa sasa ni kama misfit ndani ya nyumba yao na sababu ya pili na ambayo imeharakisha utekelezaji wa maamuzi haya ni kutumia tukio hili la utenguzi kwa lengo la kuhamisha attention ya watu(mjadala) kuhusu yale makubaliano ya kimangungu kati ya sisi na wale wanaume(wazungu).

Kwahiyo, bwana yule amejaribu kuua ndege wawili kwa jiwe moja ila ajue tu yale makubaliano ya kimangungu hayawezi kupita hivi hivi na mjadala wake utaendelea tu na huu wa utenguzi baada ya siku mbili zijazo utakuwa umepoa kama sio kwisha kabisa.

Kwa kifupi Mzee huyu kakosa maarifa na hajui ashike lipi na aache lipi!!
 
Yote anayofanya sisi tunaunga mkono wewe endelea kupinga, kumpinga yeye ni sawa na kumpinga Yesu sijui kama utafanikiwa.
We mjinga kweli,acha kufananisha mtu na yesu,hakuna wa kufanana nae.huyo ni binadamu tu ka cc.anakunya ka cc
 
La kawaida sana mkuu ye si ndo kashika mpini au?
Jaribu kuhisi uonavyo, lakini hakika Huyo jamaa hivi sasa sijui kama hata huo usingizi atakuwa anaupata.......

Kugombana na makatibu wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuendelea kumbeba yule "kivuruge" anayekashifu watu, huku akiwa "untouchable" ni jambo linalofikirisha sana ubongo

Hili sekeseke linalokikabili chama chake,si tatizo doogo kadri unavyoweza kufikiria
 
Watu waseme tu watakavyo lakini yanayotokea sasa vigumu kuyaelezea au kuyamaliza bila mtikisiko. Nyerere tu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuzuia na kufuta mitikisiko kama hii. Mkapa ana nafasi pia. Ni mambo ya ajabu sana!

Back
Top Bottom