Jicho la tatu: Kama picha za kampeni za Lissu sokoni Kariakoo ni za kweli, hii inaweza kuwa ni hujuma ili CHADEMA ionekane inavunja sheria za uchaguzi

Nimekueleza unawezaje kujadili kitu ambacho hakipo bila kujali umeweka kama au hujaweka.
Nikakutolea mfano ni sawa na mwingine aseme " kama kweli nyalandu kachukua form ya kugombea uraisi zanzibar basi tumuunge mkono"
Unaweza kuhadili mada kama hiyo ya mfano hapo juu?
Mkuu ngoja nijaribu kumtetea au kumsaidia kuweka sawa hoja au wasiwasi wa Salary Slip.
Kwanza hata kusambaza hizo picha za bango mitandaoni ni kama kufanya kampeni.
Na wote tunajua bado kampeni hazijaruhusiwa na mamlaka husika.

Wanachedema wawe makini vinginevyo basi kuna hujuma dhidi ya Lissu kutoka nje au ndani ya chama chake.
Nayakati hiz lazima watu wawe na ukomavu na kutafakari kila wanachosambaza, kusema na kutenda. Watu wawe makini na vitu vya mitandaoni.
 
Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni.

Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi kama mgombea uraisi kabla ya wakati ,ni kuleta shida kwa CHADEMA na Lissu mwenyewe ingawa hata chama chake chenyewe bado hakijateua mgombea.

Hivyo,wana-CHADEMA, jambo hili si la kufurahia hata kidogo na huenda limewekwa na wabaya wa Lissu/CHADEMA ili chama au mtia nia husika apate adhabu au misukosuku na pengine kumpa Msajili wa Vyama vya Siasa au Tume ya Uchaguzi sababu ya kuingilia kati jambo hili na pengine hata kuwalima CHADEMA barua wakati wowote kuanzia sasa.

Kwanza tunaomba uthibitisho wa jambo hili na kisha tunawasihi CHADEA wafuatile jambo hili bila kuchelewa licha ya ukweli kwamba bado hawajateua mgombea wa nafasi yoyote ile akiwemo wa uraisi.
 
Attachments

  • 20200623_115528.jpg
    20200623_115528.jpg
    19.6 KB · Views: 1

Kamuulize Mh. Lema alishasema mapema kuwa Lissu ameshatengeneza picha za urais kama tayari alishapitishwa na CDM. Kwa hiyo usipoteze muda huku nenda moja kwa moja kwa Lema kama unaubavu lakini!!!
 
Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni.

Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi kama mgombea uraisi kabla ya wakati ,ni kuleta shida kwa CHADEMA na Lissu mwenyewe ingawa hata chama chake chenyewe bado hakijateua mgombea.

Hivyo,wana-CHADEMA, jambo hili si la kufurahia hata kidogo na huenda limewekwa na wabaya wa Lissu/CHADEMA ili chama au mtia nia husika apate adhabu au misukosuku na pengine kumpa Msajili wa Vyama vya Siasa au Tume ya Uchaguzi sababu ya kuingilia kati jambo hili na pengine hata kuwalima CHADEMA barua wakati wowote kuanzia sasa.

Kwanza tunaomba uthibitisho wa jambo hili na kisha tunawasihi CHADEA wafuatile jambo hili bila kuchelewa licha ya ukweli kwamba bado hawajateua mgombea wa nafasi yoyote ile akiwemo wa uraisi.
Screenshot_20200623-140521.png

KILIMANJARO.
 
Photoshop. Huwezi anza weka mabango wakati NEC hawajakupitisha
..

Mabango yote Tz yametolewa bure kwa miezi 2 kwa CCM
 
Kwani hawa wanachokifanya siyo kampeni?
Mnachosema ni sahihi lakini tuangalie mazingira.
Huyu mmoja ndiyo mwenye kukalia kiti cha 'muhimili uliojichimbia' zaidi kuliko bunge na mahakama.
Yeye ndiyo huteua watendaji wa muhimili utakao hamua hukumu ya kesi yeyote juu ya pingamizi za ushindi sababu ya kufanya kampeni kabla ya muda uliotangazwa na mamlaka husika, na huyo huyo ndiyo huzipa/huidhinisha fedha kwenye hizo mamlaka na mihimili mingine.

Tunalia kuhusu tume huru lakini mitego au hujuma nyingine zipo ndani ya uwezo wetu kuziepuka, kwanini tusichukue tahadhari na kuzikwepa?

Haya ndiyo maoni na mawazo yangu pengine ya kipuuzi na ya uoga.
CC: Salary Slip , Sky Eclat
 
CC: Evarist Chahali
 
Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni.

Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi kama mgombea uraisi kabla ya wakati ,ni kuleta shida kwa CHADEMA na Lissu mwenyewe ingawa hata chama chake chenyewe bado hakijateua mgombea.

Hivyo,wana-CHADEMA, jambo hili si la kufurahia hata kidogo na huenda limewekwa na wabaya wa Lissu/CHADEMA ili chama au mtia nia husika apate adhabu au misukosuku na pengine kumpa Msajili wa Vyama vya Siasa au Tume ya Uchaguzi sababu ya kuingilia kati jambo hili na pengine hata kuwalima CHADEMA barua wakati wowote kuanzia sasa.

Kwanza tunaomba uthibitisho wa jambo hili na kisha tunawasihi CHADEA wafuatile jambo hili bila kuchelewa licha ya ukweli kwamba bado hawajateua mgombea wa nafasi yoyote ile akiwemo wa uraisi.
Mkuu, ninavyomjua msajili huyu wa vyama, ni lazima wapo chaka pamoja na Polepole wakiangalia nini cha kufanya, ijapokuwa ni wazi itakuwa ni wao wapo nyuma ya matangazo hayo ya kampeni ya Lissu ili waweze kumuwekea pingamizi endapo akifanikiwa kupitishwa na chama chake.

Haiyumkini Tundu Lissu ni tishio kubwa sana kwa chama tawala. Kuna viashiria vyote vilivyowazi kuwa wanatumia kila hila kutia dosari uamuzi wake wa kutia ktk kinyang'anyiro cha nafasi y uraisi kwa mwaka huu. Natambua mbali ya TL, wengine ni Membe na Zitto, ambao wanawakosesha usingizi.
 
Back
Top Bottom