Jicho la tatu juu ya Milipuko ya Mbagala Na Gongo la mboto

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Kwanza naomba nitoe pole kwa wahanga wote wa milipuko ya mabomu huko Gomz,
Natumaini kwamba hakuna jipya ambalo tunaeza sema ati Hatujui wala kujiandaa kwa hilo kwani ilipotokea mbagala walitoa ahadi nyingi sana, Na kusema wazi kwamba haitoweza kurudia tena hali kama hiyo (Mbagala),

Na kwa kua imetokea tena Naomba tujue kwamba hawa jamaa ni wazembe na sidhan kama wanaweza kutupiga tena somo. Huu ni uzembe dhahiri ila najua watatupa pipi tena.

leo hii tanzania tunashuhudia ndugu zetu wakiuawa hivihivi, ila kwa kuwa amani ni jadi yetu tunakaa kimya kama kondoo, hatuna shida si tunaendelea ktk shida zetu tangu hapo kale?,

Hivi ndivo ninavofikiria:

Kwa kua magala ya silaha yapo maeneo kadhaa ya Tanzania almost kila Mkoa na wilaya na kwa hapo dar ndo usiseme, mi naon a ni jambo la busara tu serikali ichukue hatua za kusudi kwa lengo la Kuangamiza hizo silaha, ninauhakika kama hayo mabomu sio ya kichina basi yatakua yamenununliwa enzi za mwalimu na hivo kuna uwezekano mkubwa sana Milipuko ikaendelea ktk sehemu mbali mbali za nchi kama hatua maalum zisipochukuliwa.

Naomba Kuwasilisha
 
Hata hayo ilibidi yaangamizwe, wakulu utaalamu na fedha wakadai hamna.............. Habari kutoka radio mbao though......
 
Asaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaante sana
Mtanzania, Kuwa mtanzania sio kuwa mweusi
Bali nikuonyesha moyo wa uzalendo kama huu,

NAPENDA KUUNGA HOJA.
 
nawafikiria wenzetu wa GOMZ,hivi watalipwa fidia ya kuridhsha?watendaj wetu watafanya upembuz yakinifu wa mali zao?au ndo yatatokea ya mbagara?wale waathrika watakaa uwanjan hadi lini?MATOKEO YAKE MTU ANAROPOKA MSISIKILE RADIOMBAO,
MTU MZMA HOVYOO
 
Back
Top Bottom