Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu - Konda wahi kuweka kigingi gari linatoka nje ya barabara) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.

Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number fulani kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .

Mungu si athumani wala joti, Mama akashika rungu na kulibwaga sinia la pilau puuuuuuuhhh chini likajaa mchanga ndani ya muda mfupi . . .

#Nawasalimu kwa jina la CAG (Itikieni "Tumeibiwa sana wanyonge ila bado hatujakoma")
😅😅😅😅
 
Watu mmekua kama wapiga ramli, kujitungia vihadithi na vinadharia na kuvileta humu.

Mzee ameshafariki, mama ameshaunda serikali yake habari zimeishia hapo.

Hizo ngonjera nyingine hadithianeni na familia zenu. Kutuletea humu story za kufikirika ni uhayawani.
Unatunyamazisha wakati tumepigwa?? Hatudanganyiki.
 
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?)

Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana walikuwa wanashirikiana kuhifadhi noti katika ile Benki kubwa (kama yasemwayo ni ya kweli) na walipoona dalili za Mzeee Baba kuondoka huku wakiwa na hofu ya mrithi wake kuzuia fedha hizo, wakaamua kuziondoa haraka kwa tahadhari ili zisije kuchukuliwa au kuwalatea matatizo iwapo mrithi wa Mzee Baba angeamua kuzizuia.

Kama niwazavyo ni sahihi, najiuliza tu kama familia ya Mzee Baba imeambulia chocolate na kama wamedhulumiwa, nawaza wataenda kushitaki wapi zaidi ya wao kulipiza kwa kutoa siri na kuwa wapole.
Hizi sio pesa za ukoo, ni pesa za wananchi na zinahifadhiwa BOT. Anayechukua nje ya utaratibu huyo ni mwizi tu hakuna justification nyingine.
 
Tuliza mshono dogo
Watu mmekua kama wapiga ramli, kujitungia vihadithi na vinadharia na kuvileta humu.

Mzee ameshafariki, mama ameshaunda serikali yake habari zimeishia hapo.

Hizo ngonjera nyingine hadithianeni na familia zenu. Kutuletea humu story za kufikirika ni uhayawani.
 
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?)

Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana walikuwa wanashirikiana kuhifadhi noti katika ile Benki kubwa (kama yasemwayo ni ya kweli) na walipoona dalili za Mzeee Baba kuondoka huku wakiwa na hofu ya mrithi wake kuzuia fedha hizo, wakaamua kuziondoa haraka kwa tahadhari ili zisije kuchukuliwa au kuwalatea matatizo iwapo mrithi wa Mzee Baba angeamua kuzizuia.

Kama niwazavyo ni sahihi, najiuliza tu kama familia ya Mzee Baba imeambulia chocolate na kama wamedhulumiwa, nawaza wataenda kushitaki wapi zaidi ya wao kulipiza kwa kutoa siri na kuwa wapole.
Propaganda tupu.
 
Tungekuwa na ushahidi hizi story zingeleta maana sana. Unashikaje simu ya boss wakati Col wa jeshi yuko nyuma yake?

Wakisikia mpambe wa Rais wanafikiri yuko pale kama pambo. Haya yote yanakuja kujaribu kuzima yule jini chechetu anaye tuhumu watu flani.
 
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
Punch line ya mwisho nimeipenda
 
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
Ni watu 3 tu walio kuwa wanafanya maamuzi ya matumizi ya pesa ya nchi hii, ndicho kilicho wezesha wawli kuendelea kufanya maamuzi hata pale ilipo julikana wa tatu kesha pumzika. Enzi hizo utaasis ulisha zikwa.
 
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
Hilo neno la urais ni taasisi nimeshalidharau kabisa na kuona ni takataka,na kama lipo basi sio Tanzania,labda ulaya huko.mtu alikuwa anajiamulia anavyotaka halafu useme taasisi,taasisi ya
 
Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu - Konda wahi kuweka kigingi gari linatoka nje ya barabara) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.

Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number fulani kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .

Mungu si athumani wala joti, Mama akashika rungu na kulibwaga sinia la pilau puuuuuuuhhh chini likajaa mchanga ndani ya muda mfupi . . .

#Nawasalimu kwa jina la CAG (Itikieni "Tumeibiwa sana wanyonge ila bado hatujakoma")
Story yako kama inakaukwel kwa mbali
 
Back
Top Bottom