kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 125
- 8
Likoje?
Likoje?
linazungukazunguka
wizi mtupu.....kungu za kitanga!
weeee tanga hakuna macho ya kungu yote ni nachural!!!
waja leo warudi leo! Jicho likisha lishwa kungu manga hatari tupu....ka anakuangalia ka akuangalii basi balaa tupu!
nakwambia we hashy nenda kalale wafata nini huku jamanii??
weye ndo ulo niaga ati!
me natokea tanga,sa sijamielewa mnaposema jicho,me nlitaka kujua ni jicho gani mwalizungumzia maana mwanichanganya mie?
weeee tanga hakuna macho ya kungu yote ni nachural!!!
Zipo pale Masiwani karibu na soko mjinga oposite na posta!
Jicho kunguLikoje?
lalegalega kuanguka mwenzangu.kama mke kama mume aduaa kama kachomwa msumari,,mana ayakaza umfahamu kama kakudondokea..
mmmh jicho lako bibie nalitamani kweli...................................
haaaaaaa weeeeee mi langu la upole usisababishe baba akanifungia internet bure mi wa geti kali baba apendi hivooo kimbweka mwenzio!!!