Jicho la kushoto linaniuma

Makatanyugunyu

New Member
Dec 1, 2018
2
0
Habari Dr na wanajamii forum mimi ninatatizo la jicho la kushoto linaniuma sana mpaka na kichwa kinauma tena upande wa jicho LA kushoto nilikwenda kwa Dr mmoja akanipa miwani ila bado napata tatizo hilo pia nikaamua linapouma natumia acefenac ya maumivu linatulia ila ila baada ya muda linaendelea tena kuuma plz naomben msaada wa Tina nipone tatizo hili wakubwa
 
Mkuu kichwa kinamengi nenda kafanye CT scan ujue nini shida miwani sio shuluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo miwan mkuu ile ya jua una vaa 24hr kapime kwa daktari watakupa vipimo....
 
Back
Top Bottom